Recent content by mox lyi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Christian Bwaya atiwa mbaroni kwa kuweka picha ya wanafunzi waliokaa chini wakifanya mtihani wilayani Iramba

    Aisee Bwaya... Unajilipua sana serikali hii haitaki kukosolewa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM yapasua ngome ya CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo wilaya ya Kondoa

    Hugo polepole Mungu anamuona... Kakabidhiwa fungi la kununua wachumia tumbo.. Wana force ili kuua upinzani lkn hawafanikiwa..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isichukulie umasikini wa Watanzania kama 'advantage' kwao; wazazi wa Akwilina hawahitaji kugharamiwa mazishi

    Sasa mm kama Ni mshabiki Wa simba utalazimisha niwe Wa yanga? Yaani inachofanya serikali Ni kutulazimisha watanzania wrote tuwe CCM...Ni kitu ambacho hakiwezekani... Tunataka upande Wa pili ili ukukosoe pale unapo lala au mambo hayaendi vizuri...lakini sio uuwe alafu uahidi utasadia mazishi. Na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Kama yalikuwepo makubaliano ya kupitisha vyama vingi ,kwann Leo hii chama tawala na serikali wanaonyesha chuki wazi wazi kwa vyama hivyo? Nadhani Raid angetumia mamlaka yake kuvifuta badala yakuendelea kwa sintofahamu za kila kukicha... Mwisho Wa Sikh mtu unaichukia nchi yako japo c viongozi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi, Dar: Waziri Ndalichako, Masauni na IGP Sirro wafika nyumbani kwa Mwanafunzi Akwilini

    Msafara Wa mbowe ulikuwa na bunduki? Au Ni agizo?where are we going TANZANIA?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Mama Ndalichako , Suleiman Jafo mnachanganya wananchi juu ya Elimu Bure.

    wana tuzuga.. hatuna elimu bure..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

    kaazi kweli kweli mzee kawa kama kijana wa miaka 20..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    namwonaga ktk mabango, akiwa anajenga. .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni (KUB) iwe huru kugombewa

    Kama ana wabunge wengi wewe una mjadili nn? Wenyewe mbona wako poa!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI atangaza Neema Dkt. Mollel akirudishwa Siha

    Mambo ya aibuu.. Serikali itafute 2b? Muda wore mlikuwa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na kesi za Wapinzani

    Nakumbuka ya Arusha... Nassari kapeleka ushahidi uliorekodiwa lakini mwisho wa siku Ni kimya, ukifuatilia utaona Luna watu WA serikali walihusishwa, haki IPO wapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

    Hivi Ccm wamekosa MTU ambae anaijua ccm mpaka wampe Huyu wa Cuf nafasi ya kugombea?Ni mpasuko huo...nikae ccm miaka yote Leo mlugaluga apewe fomu...!simpi kuraa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Katumwa na MA CCM....HAWA WAMEAMUA KUJILIPUA..WANALIANZISHA MWISHO WA SIKU...!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

    Makonda ata msaidia ana huruma Sana...
Back
Top Bottom