CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

HALAFU HIKI KITU ALICHOFANYA MTULIA NI KUHUJUMU UCHUMI WA NCHI YETU.UNAUKATAA UBUNGE, HALAFU SERIKALI ITUMIE TENA GHARAMA ZAIDI YA BILIONI MOJA KUGHARAMIA UCHAGUZI WA KUKUCHAGUA T
 
Hivi Ccm wamekosa MTU ambae anaijua ccm mpaka wampe Huyu wa Cuf nafasi ya kugombea?Ni mpasuko huo...nikae ccm miaka yote Leo mlugaluga apewe fomu...!simpi kuraa...
 
WAHUJUMU WA UCHUMI WA DIZAINI YA AKINA MTULIA WA KINONDONI NA DR.MSIGALA WA HUKO JIMBO LA SIHA,KWENYE KATIBA MPYA IJAYO WANATAKIWA WAFIKISHWE KWENYE MAHAKAMA YA WAHUJUMU WA UCHUMI-HATA KAMA WATAKUWA WAMEZEEKA KAMA "FUJIMORI".VIJANA WETU WANAOSOMA VYUO VIKUU MIKOPO HAITOSHI KWA SABABU YA WATU KAMA HAWA.
 
View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
Hana bei? kutoka kugombea ubunge Zanzibar mpaka Ubunge kinondoni! Kwa nini! Hana bei maana yake nini. Ni mkazi wa kinondoni sawa? aNini sasa kilimpeleka Z'bar. Jibu ni njaa, Je dawa ya njaa nini? Ni Chakula, Je chakula kinapatikaneje, kinapatikana baada ya kufika BEI ya muuzaji.
Sawa sawa!
 
wakidakwa na kuswekwa ndani kwa uchochezi wasije piga yowe kuwa wanaonewa watatoka baada ya uchaguzi.Waage makwao kabisa
Mwaka huu mtatajana kudadeki ! Tumerudi uwanjani makusudi mazima , tunaumbua mtu waziwazi .

Nimepewa MIC Biafra mkuu , karibu sana umfahamu Erythrocyte Mh Mbunge wa Kyela 2020 .
 
CHADEMA acheni siasa za matukio ,jikiteni kwenye sera zinazowagusa wananchi

labda nitoe ushuhuda mmoja uliotokea maeneo ninayoishi

kwenye uchaguzi mkuu 2015,diwani aliyekuwa madarakani alikua ccm ila diwani mpinzani alikuwa cuf(akiwa ndani ya ukawa) ,huyu diwani wa ccm alikua hawezi kunadi sera zake bila kumtukana diwani wa upinzani tusi la "hanithi"( japo ana mke) kitu ambacho diwani wa upinzani hakuwahi kukijibu hata siku moja kwenye sera zake hata siku moja,kwanza alijibebea points kwa kustick kwenye maswala ya wananchi hii ilimpa heshima hadi wazee,wamama na wananchi wote eneo letu bila kujali chama na hakika alishinda kwa 80% tunamkubali sana kwani maendeleo tumeanza kuyaona tunajivunia sana kuwa naye

Naomba mbaki kwenye sera ,uzeni sera zenu mtashinda mapema sana
 
Aisee kiukweli tangu Lowassa amekuja Chadema mambo ya Rushwa/Ufisadi siku hizi hatusikii zile amsha amsha zao.
 
Mtaishia kunawa chadema, ivi Kinondoni nzima hamuoni haya kutuwekea mzanzi?
Mmeanza mambo yenu ya hatari ya kibaguzi. Si mnasema Chadema ni chama cha Wachaga? Huyu katokea wapi. Yaani kwa ubaguzi huu na ili nchi ipone, maccm yote mlaaniwe na mkaishie shimo moja. AMEN!
 
View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
Sasa zitatusaidia nini sisi wananchi?mpelekeni mahakamani au ndiyo mnatumia kama kigezo cha kupata kula cdm?kula ni siri yetu!!
 
Mwaga ugali na mwaga mboga nakama nikweli siku zote chadema mlikuwa wapi au huyu mtu aliyepiga hizo picha au video alikuwa wapi kipindi chote haaa sio poa nyie chadema sisi sio watoto
Wangekuwa nazo wala wasingesubir, jinsi mambo yalivyokuwa yamebana hpo kati...mmmhh
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom