Dhamana ya huo mkopo ni hiyo smart phone Yako na wala sio kitambulisho chako kama unavyodhani, katika masharti uliyokubali ni pamoja na kuweka dhamana ya simu Yako hiyo IMEI number za simu wamechekua ulishindwa kulipa wanazima simu hiyo mpaka utakapolipa
Akitaka kujua kuwa ni wengi au wachache ni rahisi tu, arekebishe tu katiba na kuweka tume huru ya uchaguzi Kisha watu wapige kura ndio atajua kuwa hajui. [emoji3][emoji3]
Hakuna kitu kinaitwa politics of engagement, huko ni kuamua tu kukikabidhi Chama chako Kwa Chama tawala ili kikuamulie upate kiasi gani na chenyewe kipate kiasi gani, Kwa ufupi tu huko kuamua kuwa chawa Kwa Chama tawala na serikali.
Yaani unatumia muda mwingi kutoa ufafanuzi wa kijinga Kwa kutoelewa kabisa utaratibu, sawa hata kama ni raia wa Msumbiji, nani alikudanganya kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutoa Urais wa Tanzania? Anatoa Uraia kama nani na wakati sio Rais wa JMT?
Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani posho za ubunge ni muhimu sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani poso za ubunge ni sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
Acha umbea wewe kwa habari zako za kuokota kwenye mitandao Kisha unajifanya kutuahabarisha sisi. Wewe umetoroka nchi kwa sababu ya uhalifu then kila siku upo busy unaendekeza umbea tu kwa habari za uchochezi Tanzania Kisha unajifanya kachero kumbe kibaka tu
Jamaa ni Mshamba sana sijawahi kuona, nadhani ndio maana hata alifukuzwa TISS. Alikuwa akimpinga sana JPM na kujifanya yupo upande wa opposition, baada ya Mama Samia kuwa replaced kila siku yeye anahangaika na CDM kwa kuandika makala fake anaziicha uchambuzi wa kijasusi kumbe ni upuuzi mtupu...
Ninyi wanasiasa hasa wapinzani ni watu wa ajabu sana, kwa miaka yote hii mnasema tume sio huru, mnakaa kimya miaka yote bila kulazimisha tume huru ya uchaguzi ipatikane, then yanakuja mambo ya kuwabana mnaanza kusumbua watu, acheni mambo yenu ya ajabu ajabu mliamua kuingia kwenye uchaguzi kwa...
Ambacho haukielewi ni kudhani kuwa mbunge ndio anatengeneza wanachama na wakati uhalisia ni kwamba wanachama ndio wanatengeneza mbunge. Mnachokosea ni kuwekeza nguvu katika kuchukua wabunge kwa kudhani ukichukua mbunge ndio umechukua na wanachama, hizi ni akili za Popo na mkumbuke kuwa wanachama...
Wewe ni ajabu kweli kweli, yaani umeiweka CCM ili watu wapime kwenye mizani na kuja na conclusion ya lengo la mada yako sio? Sawa umeeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.