Recent content by MoureenAbel

  1. M

    Rais Samia apokea ujumbe kutoka Burundi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 14 Januari, 2022 amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na...
  2. M

    Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

    Akizungumza katika kikao maalum cha mawaziri na naibu mawaziri, Rais Samia Suluhu amesema kwamba Urais ni taasisi na sio mtu. Ameendelea na kueleza kwamba taasisi hii huja na mamlaka, miongozo na serikali mbalimbali. Amesema kwamba kwa sababu mbalimbali mtu au watu fulani wanaweza wasimpende...
  3. M

    John Mnyika, kuulalia mkeka uliochanika kunahitaji akili nyingi sana na sio nguvu

    Kuna wakati tuache ukweli usemwe na usemwe vizuri. CHADEMA wamekuwa wakitumia lugha zisizofaa dhidi ya polisi, majaji na mahakama kwa ujumla, bila kujua taasisi hizi zina watu na watu hao wana hisia, lakini pia wana mamlaka. Binfasi naamini kuwa lugha hizi ni moja ya sababu kubwa ndugu yetu...
  4. M

    Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    Hongera Rais Samia kwa jicho lako kufika huku. Mwalimu Nyerere anastahili kuheshimishwa na wewe umeliona hilo.
  5. M

    CHADEMA inademka na kila mdundo unaopigwa

    Ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani, ni wazi kuwa panahitaji chama ambacho kitakuwa mbadala wake, chenye nguvu kama au walau kukaribia nguvu chama tawala. Hali inapokuwa kinyume na hapo, ni wazi kwamba itakuwa vigumu sana kukitoa chama tawala madarakani kwa sababu hilo linawakatisha...
  6. M

    Mwaka 2022 ni uchaguzi wa ndani wa CCM

    Pengine kweli CCM imechoka kukaa madarakani, au labda viongozi wake wamejisahau, lakini embu tafakari, kwa hali ya sasa ya siasa nchini, ni chama gani kinaweza kuchukua nafasi ya kuongoza dola? Hii nchi ina vyama ambavyo hata baraza la mawaziri haviwezi kuunda kwanza havina wananchama wa kutosha...
  7. M

    Vitimbwi ndani ya CCM kwa sababu mama ni Mzanzibar?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ukiuanza ni laana ambayo haitokuwa salama kabisa. Kadiri utakavyokuwa ukiendelea, utabaini kwamba ndani yenu kuna tofauti na hivyo utaendeleza ubaguzi. Tutaanza na Uzanzibar na Utanganyika, baadaye tutakuja ukanda ndani ya Tanganyika, tutakuja umkoa...
  8. M

    Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Hongera kwa Rais Samia. Hii ni alama ya utambuzi na kueleweka kwa utendaji kazi wake.
  9. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  10. M

    Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  11. M

    Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

    Kuna wakati sio lazima kila kitu umuhimu wake upimwe kwa fedha. Mafanikio sio kupata au kuokoa fedha pekee yake, ndio maana hata vijana wanasema 'kutengeneza connection' ambacho ndio kinafanyika hapa. Kuimarisha urafiki ni mwanzo wa kupata fursa za kutengeneza fedhaa nyingi zaidi kuliko hizo za...
  12. M

    Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii watasoma watoto wa Mtanzania yeyote ambaye amefaulu kwa viwango vinavyotakiwa. Suala la wewe kuuliza watasomama watoto gani na wakati unajua kabisa shule za serikali wanasoma watoto wote, ndio unaanza kuwafanya watu wafikiri ambavyo hata havikuwepo.
  13. M

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Miaka yote nchini Tanzania kunakuwa na upungufu wa sukari, na lazima serikali inaagiza sukari nje ya nchi suala la waziri kusema hadharini kwamba hatotoa vibali wakati anajua lazima serikali itaagiza nje sio sahihi. Na pia kabla ya kusema hayo, walau angepata ushauri kutokana kwa kiongozi wa...
  14. M

    Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Rais Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi. Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia...
  15. M

    Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    majengo matatu yaliyopo mtaa wa Mkunguni na Nyamwezi
Back
Top Bottom