Iwe ya kwake, ya UN iliyoasisiwa kule Kyoto, ya AU, ya EU, ya yeyote yule; si neno. Kuna watu wengi tu walishaanza. Kuna wanaoweka msisitizo, kuna wanaotekeleza. Si neno. Cha muhimu ni wewe kuchangia katika kuboresha.
Kampeni ya kupanda miti ni ya kuungwa mkono na kila mtu no matter what! Nchi inageuka jangwa hii. Joto limezidi. Japo amekosea sehemu fulani kwenye hili lakini ameonyesha nia njema. Tuboreshe pale palipo na kasoro tuendeleze hii kampeni.
Elimu:
Kuweka mifumo wa umwagiliaji sio sehemu ya miradi ya maendeleo? Jibu: ni sehemu ya miradi ya maendeleo. Pia usalama wa chakula ni agenda ya Taifa lolote lile ili liweze kuwa huru. Kumbuka; ADUI YAKO MWOMBEE NJAA. Njaa huuza uhuru wa Nchi.
Na ujue kuanza kidogokidogo kama mtu binafsi ndio...
Ajabu kweli. Sasa kama mlikuwa mnachukia ufisadi kwa dhati, mbona hamkuisaidia hiyo CHADEMA kwa miaka yote hiyo 20?? Slaa amepiga kelele hamkumuelewa. Ni kinini kingewafanya sasa mumuelewe?? Ni unafiki!!!!!!! Unajifanya unajua mema na mabaya sasa! Hukujua zamani! Ulikuwa mtoto??
Mtu yeyote...
Sijaelewa. Mtu kupigania haki zake ni ugomvi? Au kusema ukweli juu ya jambo fulani ni ugomvi? Lakini hata mwizi akiitwa mwizi ataleta shari kwa Sababu anataka ukae kimya.
Huyu mtoa mada hii siku zote amekuwa akita mada za kumsifu Zitto na ACT na kukashifu Chadema na viongozi wa Chadema? Mbona Zitto alisema kwa niaba ya chama kuwa yeye hapingi upinzani? Au ndo mchana kama watu usiku wanageuka mizimu.
Narudia tena. Kusaka vyeo na fedha ni roho ya kibinadamu. Hatuhitaji huruma ya mtu aliyopo madarakani bali alazimike kutenda mema. Na sisi hatuna kifaa cha kupima roho ya mtu kama ni njema au la. Muhimu ni kuwa na systems. Kuna nchi ukiingia madarakani tu system inakubana utende mazuri kwa...
Maneno kama "wanataka madaraka" au "wanatukosoa sana" n.k. ni kutaka tu huruma bila sababu. Hili sio kosa. Ningeshangaa sana kama wangekuwa hawana lengo la kutwaa madaraka. Maneno kama " wanasaka tonge" . Huu ni ukosefu wa fikra pembuzi. Hili sio kosa. Kila mtu ndicho anachotafuta. Either...
Nani kakuambia KATIBA YA NCHI ni jambo la siasa? Naomba jielimishe maana ya KATIBA kwanza ndio urudi upya hapa.. Naomba kwa ufupi tu ujue kuongelea KATIBA sio siasa. Katiba inawahusu wananchi wote. Wanasiasa na wasio wanasiasa. Na mchezo ukifanyika hapa basi mbeleni ni shida tupu: kwa walio...
Sasa ni kinini kinafanya sheria iende bungeni kuanzisha hii mahakama? Kama ni ya waislamu tena amesema ni ya hiari alafu itagharamiwa na waislamu wepi? Kivipi? Sheria itaweka utaratibu wa kugharimia? Na hii sheria ni ipi?
Kitu cha hiari hakidumu. Nisawa na ujamaa. Kila kitu ni Mali ya umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.