Nani aliidangaya CHADEMA?

Nani aliidangaya CHADEMA?

Tanzania tumebakia na waandishi wa habari makini wachache sana mmoja wao ni.

Johnson Mbwambo.
Yes, huyu ni kati ya waandishi wachache ambao bado wanasimama katika misingi ya uandishi wa habari.
 
Huyu jamaa kabakia imara sana, inasikitisha sana Jenerali Ulimwengu yeye kubadili msimamo wake, ni aajabu kweli na inasikitisha sana.
Nasikia anapata vitisho vya maneno na fedha lakini hayuko tayari kuachana na misingi ya uandishi.
 
Tatizo la humu wengi wao ni mashabiki wa siasa na hawaijui siasa,eti mabadiliko
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa hata akiwa nje ya CCM. Hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Kura yangu itaenda kwa wabunge wa upinzani ili kuliweka bunge katika hali ya usawa(balanced) ili lifanye kazi sahihi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ya Magufuli na siyo kuwa rubber stamp ya serikali.

I can’t let my beautiful country go to the dogs.

Sisi Rais wetu ni Edward Lowassa. Humtaki mpigie mgombea wa Urais kupitia CCM na ACT-WAZALENDO. Kwanza, hayo magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania ni pro-CCM na ACT. Kwa hiyo, wasijidai wana uchungu na CHADEMA. Waendelee kupigia chapuo vyama vyao. Wahuni wakubwa hao
 
Wasichokijua watu hawa wa CCM ni kuwa wanaohitaji “mabadiliko” ni Watanzania wooote walio ndani na nje ya chama cha Mapinduzi na Serikali yake..Kutoa tafiti tata,kununua Viongozi wa vyama na wasanii,kupiga push ups,kuchochea udini,ukanda na ukabila,kubadili watendaji dakika za majeruhi,matumizi ya hila kuzima “Mabadiliko” ya wananchi hayana nafasi kabisa !!Wananchi wamekwisha amua,hakuna jambo la kuwazuia !!#HapaZikaCcmTu!!

Hizi propaganda za Johnson Mbwambo ni simulizi nyepesi zisizo na mashiko. Kwanza, kupitia kwa magazeti yake, Mbwambo ana maslahi na CCM hasa hiki kipindi cha kampeni hivyo haishangazi kuwa anapuliza zumari kulingana na matakwa ya mlipaji wake. Hilo liko wazi. Pili, kiuhalisia, Chadema/Ukawa hawajaachana na agenda ya ufisadi (soma Ilani yao!). Tatu, kinachomsumbua Mbwambo (na wenzake) ni hatari ya wazi ya CCM kung'oka katika uchaguzi huu kutokana na Chadema kuachana na siasa nyepesi za kiuanaharakati na kuendesha kampeni yenye dhamira ya kweli ya kuuondoa utawala wa wezi (KLEPTOCRATIC rule) wa CCM madarakani (ambao wananufaika nao). Walichokua daima wanataka ni kuiona Chadema, kama chama kikuu cha upinzani, kinaishia tu kuimba majukwaani: "Ufisadi! Ufisadi!" bila kuwa mkakati wa dhati wa kuing'oa CCM (ambayo ndio mhimili mkuu wa ufisadi) madarakani. Hakika sasa Chadema wameamua. Hawadanganyiki!!
 
Kura ya urais kwa Dr.Magufuli. wabunge,madiwani UKAWA
Kura yangu siwezi kuifanya iwe angamizo kwa kizazi kijacho.

Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Sisi Rais wetu ni Edward Lowassa. Humtaki mpigie mgombea wa Urais kupitia CCM na ACT-WAZALENDO. Kwanza, hayo magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania ni pro-CCM na ACT. Kwa hiyo, wasijidai wana uchungu na CHADEMA. Waendelee kupigia chapuo vyama vyao. Wahuni wakubwa hao

Kimsingi Lowasa hafai kuwa Rais wa tz, na hili watu wanatakiwa kutambua kwamba watz ili tuweze kupata zile ndoto za wengi, ni jitihada za kupata wabunge wa kutosha kwa upande wa upinzani, huo ndo ukombozi wetu, viongozi wa UKAWA akiwemo Mbatia, yani inasikitisha sana, wao wanakomaa na Lowasa ambaye kimsingi si msafi sana, wanazembea kuweka nguvu kwenye udiwani na ubunge, wanatambua na kulalamika kila siku kwamba tume haitendi haki, wakati wanataka Urais,

Wamesahau kwamba bunge ndo sehemu pekee ya kutengeneza sheria nzuri ambazo zitafanya tupate hiyo tume huru ya uchaguzi, wanatambua kwamba Urais auhojiwi mahakamani lakini ubunge una hojiwa mahakani, hawa viongozi wetu wa upinzani wengi ni mizigo kweli kweli, Lowasa wakati akiwa ccm tena nafasi kubwa sana serikalini anataka kujidahi kwamba alikuwa hajui kuwa tume si huru? Na kimsingi Lowasa anaipenda tume iliyopo kwa maana moja kubwa, kwamba kama akibahatisha kuingia Ikulu basi na yy ataitumia kwa faida yake na washirika wake, hasingekuwa anaipende asingethubutu kugombea nafasi hiyo.

Ni bora tungebakia na UKAWA original kwa maana kwamba tungepata faida nyingine ya kuongeza wabunge wengi sana, lakini Lowasa kachanganya vichwa vya akina Mbatia na Mbowe, kwa hali hiyo hawana muda na mambo ya ubunge na ukizingatia wabunge wengi watakuwa ni wapya ukilinginisha na hawa wa ccm ni wazoefu na uchumi wao ni mzuri kwa maana ya kupiga kampeni jimbo zima, ss wenzetu upande wa UKAWA itafikia mahala wagombea ubunge watakosa hata pesa ya kufanya kampeni majimboni kwao.

Sasa faida ni ipi, tuongeze wabunge au tuchague Lowasa ambaye atakuwa na wabunge 50 au 60, na je hayo mabadiliko yatakuja vipi? ni aibu kubwa sana sana, ila naamini na hata mm sintopiga kura kwa Lowasa, ntakachofanya ni Makufuri na mbuge wa UKAWA.
 
Aya nani anafaa kwako kuwa Rais? Mimi na familia yng ni Lowassa. Kila mmoja ana hiari ya kuchagua mtu anayemtaka. Km humtaki wewe usipende na wengine wasimpende. Ni hilo tu mkuu. Huu mwaka tutashuhudia matukio mwivi hachomoki
 
Sisi Rais wetu ni Edward Lowassa. Humtaki mpigie mgombea wa Urais kupitia CCM na ACT-WAZALENDO. Kwanza, hayo magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania ni pro-CCM na ACT. Kwa hiyo, wasijidai wana uchungu na CHADEMA. Waendelee kupigia chapuo vyama vyao. Wahuni wakubwa hao

Unaposema Sisi Unamjumuisha Na Nani We Lofa.Raisi Ajae Wa JMT Ni JPM Wewe Endelea Kujidanganya.
 
Unaposema Sisi Unamjumuisha Na Nani We Lofa.Raisi Ajae Wa JMT Ni JPM Wewe Endelea Kujidanganya.

Niko mimi, familia yangu, ndugu zangu na ukoo wangu. Wapo na Watanzania wengine wengi. Ni Rais wako huyo. Mimi siwezi kumpigia kura mhuni km Magufuli. Mzee wa......kuuza nyumba kwa vimada
 
Niko mimi, familia yangu, ndugu zangu na ukoo wangu. Wapo na Watanzania wengine wengi. Ni Rais wako huyo. Mimi siwezi kumpigia kura mhuni km Magufuli. Mzee wa......kuuza nyumba kwa vimada

Kweli mwaka huu ni wa mahaba niue,Magufuli unamuita muhuni?labda kwa mtu alie mgeni Tanzania
 
Kweli mwaka huu ni wa mahaba niue,Magufuli unamuita muhuni?labda kwa mtu alie mgeni Tanzania

Ni mhuni ndio. Mtu anauzaje nyumba kwa kimada wake?
 
Attachments

  • 1443202497128.jpg
    1443202497128.jpg
    21 KB · Views: 76
Naiunga Mkono Makala Kwa 100%.Mimi Natamka Wazi Kuwa Lowassa Ni Fisadi Na Hafai Kwenda Ikulu.Mimi Binafsi Yangu Nimeshaamua Kura Yangu Kwa Magufuli.Tunataka Raisi Mchapakazi Sio Mchezadili
#hapakazitu

Tafiti za watu wenye akili timamu zinaonesha cdm- 54 while ccm-40.
 
Na kama ni fisadi kiasi hichn kwanini ccm walikaa nae miaka nane mpaka akajitoa mwenyewe?msitake kucheza na akili zetu.maamuzi yameshafanyika.rais ajae ni lnwasa.
 
Hawakudanganywa bali Mbowe na Mtei wamenunuliwa.

Umesahau kuwa ni wachagga?
 
It was a risk they wanted to take... Lets see itakuaje, but for sure Slaa asingeweza kupata over 25% ya votes!!

KUlikua na serious fatigue na namna yake ya kucheza siasa
Nakubaliana na wewe! Mbowe ni Clever Businessman! Lowasa ni "Risk worth taking". Hata ikitokea akashindwa wakati wabunge ni wengi basi bado Mbowe na familia yake wataendelea kuwa winners. Mnajua tena ruzuku n stuff!
 
Na kama ni fisadi kiasi hichn kwanini ccm walikaa nae miaka nane mpaka akajitoa mwenyewe?msitake kucheza na akili zetu.maamuzi yameshafanyika.rais ajae ni lnwasa.
Hili ndo tatizo la wajinga wa kitanzania! Wanapolishwa na ujinga na baadhi ya wajanja wenye ajenda zao wajinga hao wanajigeuza wahubiri wa ujinga waliolishwa. Kwa hiyo wewe umeaminishwa na kukubali Lowasa alijitoa CCM mwenyewe? Oooh God!
Lowasa anataka urais kufa na kupona yani! Unapokata jina lake kwenye chama alichoamini kitamrahisishia kuingia Ikulu unakuwa umemfukuza. Rehani Shabani kwa ajenda ya urais Lowasa kafukuzwa na hakubali investment kubwa kiasi hicho iteketee bila mapambano! Lazima atafight na amini usiamini hata wale wanaomshabikia wasipomchagua kwa kuujua ukweli wake bado atadai kaibiwa ili kama kuna namna nyingine aingie madarakani. Yeye si mjinga for sure na waliomzunguka pia. Mazoba ni nyie mnaoshangilia kila linalosemwa. Edo hana roho ya uchadema wala Ukawa. Ni Servant wa mafisadi Papa ambaye yuko determined kufanikisha yake. Binafsi simlaumu! Wanaodanganyika naye ndo nawashangaa!
 
Je mwandishi ameisoma Ilani ya CHADEMA na hakuna vita dhidi ya ufisadi? Au fisadi ni Lowassa tu kwamba popote anapokuwa kunanuka ufisadi? CCM wameweza kuwaaminisha watu hivyo na kwamba sasa wao ni watakatifu kabisa katika ufisadi. Watu wameshindwa kuelewa kuwa ufisadi mwingi unaofanyika nchini mwetu siyo wa mtu mmojammoja bali ni wa kitaasisi.
 
Ajabu kweli. Sasa kama mlikuwa mnachukia ufisadi kwa dhati, mbona hamkuisaidia hiyo CHADEMA kwa miaka yote hiyo 20?? Slaa amepiga kelele hamkumuelewa. Ni kinini kingewafanya sasa mumuelewe?? Ni unafiki!!!!!!! Unajifanya unajua mema na mabaya sasa! Hukujua zamani! Ulikuwa mtoto??

Mtu yeyote mwenye akili atabadili mada kama kwa miaka 20 imekuwa kama kumpigia mbuzi gitaa, hakuna anayeelewa somo, mafisadi mwendo mdundo, wanazidi kuchaguliwa alafu wewe unakamia; mafisadi! mafisadi! Mafisadi! Lakini hakuna anayeitika. Busara inaonyesha Mtanzania hashtushwi na ufisadi. In fact, anaupenda ufisadi maana miaka yote wamerudi madarakani! Wa EPA, wa rada, wa Richmond, wa... wooooote wanarudishwa madarakani. Nyoka wooote wa makengeza wanarudi madarakani. Sasa kwa nini unaitaka Chadema ibaki na wimbo huo huo. Watakuwa insane; doing same thing, same way na kutegemea matokeo tofauti!

Na sio kweli kuwa Chadema walifanya vizuri uchaguzi uliopita!! Kwa kashfa kama ya escrow ingekuwa kwa nchi makini ingeangusha serikali. Sasa kwa impact ndogo kivile, hivi unategemea ufisadi upi tena? Kama unategemea mwingine mkubwa, Nakuhakikishia, hutajakaa uone ufisadi mkubwa kuliko ule.
 
Back
Top Bottom