Recent content by mountain

  1. mountain

    JamiiForums Tanzania Sitaki hata kujua ilikuwa ni nini, ila wapendwa Jilindeni tu!

    Pole sana..endelea kuchukua tahadhari....
  2. mountain

    JamiiForums Tanzania Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

    Ile nyumba kule porini umemuachia nan
  3. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife hanichangamkii, nimepoteza mzuka naye kabisa

    Mkaushie ..usiforce maisha
  4. mountain

    JamiiForums Tanzania Kumchukia, kuwa na kinyongo na fulani inakuumiza wewe mwenyewe na sio yule unayemchukia

    Huwa nasamehe lakin urafiki siutaki...never allow the same snake bites u twice
  5. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajielewi kabisa

    Pole Sana..ukimpata single mom usiwe na papara....Sio vibaya ukakutana na ex wake ili akushauri ipasavyo..
  6. mountain

    JamiiForums Tanzania Lets share the best/ur favourite inspirational quotes,iweke hapa

    Remember where u come from but don't stay there.
  7. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    kamlee mama yako.. utakuja pata dem mzuri kuliko maelezo
  8. mountain

    JamiiForums Tanzania Mawazo haribifu huja wakati ukiwa dhaifu kifikra, kaa chonjo

    Umeniokoa sana. Mungu akubariki
  9. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Pole Sana.. Tafuta kiwanja anza kujenga mdogo mdogo hata chumba na sebule... Utakuja kunikumbuka baadae.
  10. mountain

    JamiiForums Tanzania Mhandisi wa Majengo Chunya, Aswile Msika ajinyonga kwa suruali yake, inasemekana chanzo ni kesi ya rushwa inayomkabili

    Picha kama imekatwa..hiyo suruali aliifungaje huko juu ya mti? Kwa nn haionyeshi namna alivyoifunga?
  11. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

    Mbona wanawake wako wengi tu... Yani missed calls 8 bado unateseka nae??? Utawaza saa ngap mambo ya msingi?? mteme huyo..
  12. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitesa

    Sasa una hofu ipi ya Mungu while picha zako za uchi zipo kwa jamaa... Hivi tunaposema tuna hofu ya Mungu tunamaanisha nn Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa Nina wiki 4 girlfriend wa zamani (chuoni) nae Ana panga safari aje

    Badilisha ramani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

    Hivi inakuwaje mtu anarithi ushabiki kutoka kwa wazazi??? Nafikiri mshabiki wa mpira ni hali mtu anakuwa nayo yy mwenyewe kutoka moyoni bila kushawishiwa na mtu... Yani ni kama kumpenda mke mwema... Yani it comes naturally yani. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mountain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

    Kalazimishwa na boss wake nae kalazimika..... Wanaume wengine duh.. Waoga
Back
Top Bottom