Nimeoa Nina wiki 4 girlfriend wa zamani (chuoni) nae Ana panga safari aje

hawa wanyaturu wana matatizo gani jamani, naomba wanyaturu wote popote walipo wapimwe kinyesi chao ili tugundue chimbuko lao ni wapi... Wamenishinda tabia kabisa.

yaani akiri zao kama walitoka ukoo wa Farao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nipo njia panda hapa sijui nifanye nini chuoni nilikua na mahusiano na binti wa kinyaturu Miaka mi3 lakni mwaka Jana nimemaliza namwambia twende kwao nikalipe mahari nilijikunjua mwanaume pesa za korosho nikalipe akagoma,, niliondoka chuoni nikamwambia nakupa miez mi4 tafakari nipo sirias..

Wakati huo nilijandaa kisaikolojia mapema nikarusha jiwe bukoba kwa muhaya.. Akaingia king.. Wiki 3 zilizopita nimemvuta kusini huku.. Maisha yameanza Safi..

Sasa yule wa chuoni ndo anasema na yeye anakuja Maana nilimpa ramani ya kwetu tukiwa wapenzi kipindi kile.. Sasa hapa nashindwa nifanye nini,,

Wakuu wenye nidhamu na hekima ushauri wenu.. Mimi mkristo Siwezi oa mitaala.. Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa njia panda ipo wapi hapo? Si umeshaoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mkuu umeshindwa kusolve hio issue
Me bro wangu alipooa aliwapigia girlfriends zake wote na kuwaambia kwamba ameoa so anahitaji respect kwenye ndoa yake
So kwa reference hiyo nakushauri hapo statement ni moja tu mwambie kwamba umeoa full stop usianze kujiongelesha ongelesha na kujiuma uma inabidi uact kama mwanaume sasa uvulana weka pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu anajua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nipo njia panda hapa sijui nifanye nini chuoni nilikua na mahusiano na binti wa kinyaturu Miaka mi3 lakni mwaka Jana nimemaliza namwambia twende kwao nikalipe mahari nilijikunjua mwanaume pesa za korosho nikalipe akagoma,, niliondoka chuoni nikamwambia nakupa miez mi4 tafakari nipo sirias..

Wakati huo nilijandaa kisaikolojia mapema nikarusha jiwe bukoba kwa muhaya.. Akaingia king.. Wiki 3 zilizopita nimemvuta kusini huku.. Maisha yameanza Safi..

Sasa yule wa chuoni ndo anasema na yeye anakuja Maana nilimpa ramani ya kwetu tukiwa wapenzi kipindi kile.. Sasa hapa nashindwa nifanye nini,,

Wakuu wenye nidhamu na hekima ushauri wenu.. Mimi mkristo Siwezi oa mitaala.. Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
JIFICHE
 
Back
Top Bottom