Recent content by moudytz

  1. moudytz

    Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

    nakazia mkuu hata mim hii kitu iliwahi nitokea badae yalimshida akaniambia nilifanya abortion
  2. moudytz

    Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    chumvi kwa kuogea au kuichoma ikinuia jambo lazima liende mkuu nimejionea mengi sana kwenye maisha yangu
  3. moudytz

    Harakati zangu za kunifanya kuchelewa kufika mshindo

    supu ya kongoro plus karanga mbichi
  4. moudytz

    Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    unawataka ma uncle sio
  5. moudytz

    Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    ml 8 mpaka leta nyingi sana mkuu na chenji inabaki mkuu
  6. moudytz

    Mama hamtaki Mpenzi wangu

    nilishawahi kukutana na situation kama hiii aisee mamkwe alidai natumia pombe na bangi ila mke wangu aliniamini na kunipenda kufupisha tu story mama mkwe ananitegemea na anajutia aliyokuwa anayasemaisee ni miaka kumi sas
  7. moudytz

    Nimechoka, naenda kununua gari

    kama nimekuelewa hv mkuu
  8. moudytz

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    kuna mshikaji aliwahi kuiba hao mbuzi amekuwa kichaa mpka wa leo
  9. moudytz

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    soko ikoje kiwandani kwa sasa wadau
  10. moudytz

    Kwa wafanyabiashara wa dagaa na samaki

    Dagaa wanapima aje mkuu kwa kg au ujazo wa ndoo nipe mrejesho
  11. moudytz

    Kaniambia niache Bangi

    niliwahi kukutana na mwanamke wa aina hii na alitumia nafasi yake mpaka niliacha bangi mazima 🤲🤲 na ndio mke wangu now
Back
Top Bottom