Recent content by moudoudo og

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi

    Kumuadhibu mtoto ni sawa haikatazwi Bali angalia na adhabu yenyewe ,kumpiga vile tena kichwani sio sawa kabisa OK bahati mbaya angekufa huyo mwalimu angeweza kuishi kwa Amani duniani? Adhabu zitolewe ila sio hicho kipigo cha mbwa mwizi Wa mayai
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Match ya Jana usiku ilikuwa tamu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

    Muongo sana we jamaaa aise
  4. M

    JamiiForums Tanzania Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

    Ha ha haaaaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chenge and Co Wafurahishwa na Ahadi (kiapo) cha Magufuli

    Mleta mada labda sijakuelewa so ulitaka aseme nitawaangusha!na wakati ndo waliomfanya asimame hapo alipo ..tusihukumu kabla tusubiri tuone
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania tumefikia hapa?

    usawa wa kulia Hyo hela unayokatwa ni kiasi gani?nenda ukawaambie wakupe hela yako mkononi afu upigwe na stroke we au mzazi wako afu uende hospitalini uandikiwe kipimo cha MRI au ct scan ndo utakapoona kuwa ulikuwa mjinga kudai hela yako na baada ya wiki moja mkeo au mumeo apate ugonjwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima tunakuhitaji Kanisani Kawe

    Kama aliona kuna kosa alitakiwa aongee kiustarabu.hakuna mtumishi Wa mungu mwenye kukosa hekima na busara kama yeye mwenye mdomo mchafu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Sasa mungu ataanza kukuchapa wewe akifuatia gwajima na wafuasi wenu wote subiri matokeo ya Novena
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Tanzania usiohitaji mvua

    Hata mi nashangaa sana kila siku umeme unakatika tokea mvua zimeanza kunyesha,sometime unakaa mpaka Massa 24haujarudi ukipiga emergence namba zote not reachable bash watuambie kama wanabiashara ya magenerator haitoki wanataka itoke tujue kuliko kukata Umeme ovyo ovyo bila taarifa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari/wauguzi wenye tabia ya kupiga picha za maiti wadhibitiwe kwa sheria kali

    Mbona kwenye misiba watu wanapanga bajeti ya shooting camera na still picture kwa ajili ya marehemu,na watu hawalalamiki kwani zile huwa sio picha?na anaepigwa sio marehemu?tena wengine wanapiga mpaka wanavyomuosha maiti.sioni kama kuna tatizo kwa komba kupigwa picha huku akiwa ameshakufa ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nitapata wapi maziwa ya infacare?

    Mkuu utafiti nimekosa halo namanga naomba unielekeze wapi pengine naweza kuyapata
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nitapata wapi maziwa ya infacare?

    Asante,ngoja kwanza niyatafute Leo kote mlikonielekeza nikikosa nitampa hayo s26
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nitapata wapi maziwa ya infacare?

    Alianza na infacare tunaogopa kubadilisha labda yatamletea madhara
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nitapata wapi maziwa ya infacare?

    Namba moja mkuu mazoko
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nitapata wapi maziwa ya infacare?

    Asante sana mkuu ngoja nikimbie sasa hivi
Back
Top Bottom