Recent content by MotoYaMbongo

 1. MotoYaMbongo

  Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

  Kwa kweli nakuunga mkono 100%
 2. MotoYaMbongo

  Nguvu ya Marekani inatokana na nini?

  Hata Magaidi wakidai fidia wanataka Dollar, sio mchezo
 3. MotoYaMbongo

  Watumishi wa Umma wasiongezewe mishahara, Mfumuko wa bei haujabadilika

  Jiwe lilishasaga noti zote.
 4. MotoYaMbongo

  Rais Samia atoa ajira 40,000 za watu wa afya na Walimu: Waangalie Wakulimia pia

  Hawezi kukusikiliza mpuuzi kama wewe, ametoa sababu za msingi, unajua madaraja wewe? Hayo ni zaidi ya nyongeza ya kawaida, na July kayaachia. POLE SANA kwa chuki na wivu.
 5. MotoYaMbongo

  A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

  Pia Rais aliyetesa watumishi wa umma sana.
 6. MotoYaMbongo

  Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

  Mtu alishasema yeye jiwe, tangu lini jiwe likashaurika? muache Mama atuongoze ni zam yake, hutaki hama nchi.
 7. MotoYaMbongo

  Mnaomsifu Mama Samia baadaye mtamponda tu

  Hawezi kuwa na roho mbaya kama bwana fulani, hata kama atakuwa na mapungufu yake kama binadam.
 8. MotoYaMbongo

  Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

  Tafadhali sana, usilinganishe tawala za kiungwana zilizopita na huu uozo uliopita.
 9. MotoYaMbongo

  Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

  Hao ni malofa aliowaaminisha ulofa ni sifa wakati ni laana.
Top Bottom