BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,859
Simu hii imeandika rekodi ya kihistoria - kwa kuwa simu ya kwanza kuwa na uwezo wa Satellite (kabla ya iPhone), ina kamera ya latest gen ya Huawei.
Ukitazama hii promo, nenda kacheck promo ya iPhone 14 Pro. Utaona namna ambavyo Huawei inafanana na Apple katika promotions! Huawei inapambana kuonyesha bado ipo faster katika teknolojia ya mawasiliano kama Apple. Huawei ni Apple ya China!
CREDIT: @ Apollo (@itsapolloo)