Mamlaka zinaona ni Hali kesi kuamuliwa hivyo? Madai ya m8 ilifikiwaje? Nyama iliyohifadhuwa ilikuwa ngombe 8 kila mmoja kilo 100 au? Adhabu iendane na kosa. Pande zote zipate haki. Tatizo hadithi kama hii unakuja gundua Kuna mkono wa mtu wa serikali au rushwa iliyopelekea mtu kudhulumiwa nyumba...
Kati ya Stesheni ya Jakaya Kikwete Morogoro na Ngerengere kilometa 50 hakuna kituo. Sasa lengo ilikuwa kufungua maeneo husika mbona wakazi wa Fulwe, Mikese, Mkambarani na Kingolwira wote wanateseka kulazimika kufuata huduma kihonda mwisho
waTanzania kupitia Bkisandu naomba nitoe angalizo kwamba tusifuate maono ya JMT ikija kwenye issue ya uwekezaji maana uwekezaji unahitaji
1)Hela
2)vifaa
3)utaalamu
4) eneo
5)masoko
Ukitafuta mwekezaji muhimu mchanganu uainishe mambo ma4 hayo na muda uzingatie uwezo wa kufaa Kwa uwekezaji wenyewe.
Wadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.