Recent content by Motor jeany

  1. M

    Laptop...nauza.

    Laptop dell(vostro) ipo katika hali nzuri, laki 6 tu. Nipo bukoba piga -0762 889907.
  2. M

    Kitabu Kinachofichua utapeli katika baadhi ya Makanisa

    anaetaka kuandika kufichua wizi makanisani kwanza ajue 'wizi' nini maana yake, inatosha tukisema ujinga unamsumbua kama haitoshi aandike mengi matusi yatamfika, watu wengi uelewa kwa mungu hawana bali kujitupa na kujisifu wao wokovu, ni zaidi ya upuuzi.
  3. M

    Bayport na mikopo

    Njoo FINCA umalize banda lako upate na usafiri pia.
  4. M

    You Entrepreners, Ni kwa nini Wagiriki walikuwa wakichoma Meli zao Moto? Vipi wewe waweza Choma?

    Jaribu kuwa mstarabu, wapo watu wanabadirika kwa mawazo na ushauri wa watu!, usifkiri watu wote hawapo SMART kifkira kama wewe!.
  5. M

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Jaribuni kubadiri fikra zenu, kwani kuna nini ambacho mjerumani kakiacha tanzania mpaka ashinde kukifuata?, nini anashindwa kufanya na hawa viongozi wetu wanaojijari wenyewe, tumieni ndoto za usiku muache zile za mchana. Napita tuu....
  6. M

    Wananchi wa Kenya wameungana na Raisi wao kuitenga Tanzania?

    Usipende kutoa hoja zako kama uwezo wa kufikiria ni mdogo...ongea nasi kwanza!.
  7. M

    Mgao mkali wa umeme

    Mwl. Nyerere alisema 'a collapse nation' haiwezi kusimamia mambo ya msingi. Km vile kodi,rushwa, miundo mbinu nk na itabaki kumbizana na watu barabani tu. Hapa ndipo tulipo tz ya leo. Kubwa kwetu ni politics hata kwenye mambo ya msingi.
Back
Top Bottom