Mgao mkali wa umeme

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Tangu Alhamis ya wiki iliyopita watu wa maeneo ya kigogo, majohe na kisarawe tunakabiliana na mgao mkali wa umeme ambao unaanza tangu saa nne za asubuhi hadi saa tatu za usiku au zaidi. Hatujui kama maeneo mengine ya Dar yanshida hii pia, but hali ya huku ni mbaya sana, na inashangaza kwb hadi hivi sasa Tanesco hawajatangaza uwepo wa mgao huu. Na zaidi ya yote, ninapata shida kumuelewa Muhongo aliyetangaza mgao wa umeme kuwa historia halafu mapema hivi tunaanza mgao. Inashangaza pia kwamba mgao huu umeanza mapema kiasi hiki, itakuwaje tukifika December?
 
Sisi huku Mwanza tumeishauzoea mgao wa umeme, kiasi tunaona kama ni sehemu ya Big Result Now...

Sospeter Muhongo Ni janga la kitaifa, hadi tunamkumbuka Ngeleja alivyokuwa anataja Megawatts huku tuko gizani
 
Mwl. Nyerere alisema 'a collapse nation' haiwezi kusimamia mambo ya msingi. Km vile kodi,rushwa, miundo mbinu nk na itabaki kumbizana na watu barabani tu. Hapa ndipo tulipo tz ya leo. Kubwa kwetu ni politics hata kwenye mambo ya msingi.
 
Tangu Alhamis ya wiki iliyopita watu wa maeneo ya kigogo, majohe na kisarawe tunakabiliana na mgao mkali wa umeme ambao unaanza tangu saa nne za asubuhi hadi saa tatu za usiku au zaidi. Hatujui kama maeneo mengine ya Dar yanshida hii pia, but hali ya huku ni mbaya sana, na inashangaza kwb hadi hivi sasa Tanesco hawajatangaza uwepo wa mgao huu. Na zaidi ya yote, ninapata shida kumuelewa Muhongo aliyetangaza mgao wa umeme kuwa historia halafu mapema hivi tunaanza mgao.

Kibaya zaidi serikali inatangaza kupunguza imports, wakati viwanda vya ndani havifanyi kazi,
 
Ni dharura. Hakuna mgao wa umeme.
Hiyo dharura basi itangazwe na tuelewe ni dharura ya siku ngapi. kama hivi leo umeme umekatika tangu saa moja asubuhi, ilihali jana yenyewe umerudi saa tano usiku. Mgao wa namna hii ni wa hatari sana kwa watu ambao tunafanya kazi zinazohitaji umeme. Au serikali haijui kwamba baadhi ya watanzania wanaishi kwa kutegemea computer? sasa bila umeme tutafanyeje kazi zetu? Kwa kweli hili jambo linaumiza sana uchumi wa wananchi maskini wanaioshi kwa kutegemea mauzo ya icecream, stationnery na saloon. Hili tatizo lipo kwa zaidi ya muongo hadi hivi sasa, ni serikali gani hii isiyokuwa na hata creativity ya kutatua tatizo la muda mrefu kama hili? Kwa hakika kuna watu tumewapa madaraka kwa bahati mbaya. While we thought they would think for us and decide for us, they are just sleepy dogs. They dont bark even when the threat is at their door.
 
Ninakubaliana na wewe mkuu Lukolo ila tuwavumilie. Things happen.

Hata sisi kwetu jana umeme ulikatika kuanzia saa tano asubuhi na sikujua ni saa ngapi ulirudi kwasababu niliamka asubuhi nikakuta upo. Nimeulizia sasa hivi nimeambiwa leo upo ila cha kukuhakikishia ni hakuna mgao.

Tuvumiliane. Tusihukumiane.
 
Last edited by a moderator:
Mzoee tu sie huku kwetu ni kukata kuzima kukata kuzima hadi saa mbili na kunastabilize vumilieni tu
 
Ninakubaliana na wewe mkuu Lukolo ila tuwavumilie. Things happen.

Hata sisi kwetu jana umeme ulikatika kuanzia saa tano asubuhi na sikujua ni saa ngapi ulirudi kwasababu niliamka asubuhi nikakuta upo. Nimeulizia sasa hivi nimeambiwa leo upo ila cha kukuhakikishia ni hakuna mgao.

Tuvumiliane. Tusihukumiane.
wametuomba radhi, na umeme umerudi. Tunawapongeza kwa hilo.
 
Nadhani kuna matengenezo ya upgrading ya miundominu inafanyika. Hata huku mbezi hili tatizo lilikuwepo muda huo huo tangu tarehe 1st Sptember. Lilimalizika wiki iliyopita na umeme umerudi katika hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom