Ndugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Kweli shetani akizeeka hujifanya malaika mwema! ninyi ni wezi wakubwa na mmesababisha vifo vingi sana vya BP hasa kwa walimu kwa udhulumati wenu!Ndugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Hapana usisikie ya watu njoo ofisini kwetu tuongee ,utapata mkopo kadri utakavyo tena kwa mda mfupi sana .KOPA KWA MAAENDELEO KOPA BAYPORT
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Kama unataka kulia hapo panafaa kimbia kama ukóma mkopo nafuu ni nbc 20% interest nmb zaid mayb 22hv
Jamani na mkopo wa CRDB nao vipi ikoje?
Rates zao zikoje?
Au nao ni majambazi?
cc @MahinaVeterani, JERUSALEMU
si ndio utuambie mnavyokata ili tuamini ila all comment mnaonekana siyo wazuriHapana usisikie ya watu njoo ofisini kwetu tuongee ,utapata mkopo kadri utakavyo tena kwa mda mfupi sana .KOPA KWA MAAENDELEO KOPA BAYPORT
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
nimeairisha kwa maoni ya wakuu nashukuru kwa ushauri mzuri poa niendelee kudunduliza tu nitamaliza tuMleta uzi umepewa ushauri mzuri sana na wanabodi,sipendi kuvuruga.Kama hutaufuata, usije ukarudi hapa na ID nyingine ukiomba msaada wa kwenda mahakamani baada ya kupata maumivu.Nenda tu bank ukope hela.
Naishukuru jamiiforum kwa kutuelekeza mambo mengiKama unajua siku zako za kuishi zimefika ukingoni au unafukuzwa kazi nenda ukope bayport kwa hao wezi wa mama mkapa. Nilikopa laki 8 mwaka 2008 february walikikata elfu 73 kwa miaka 3 mpaka elfu 2011.
Hao ni majambazi wa kutupilia mbali hapa tanzania.
Tena umshauri na ndugu yako asifanye makosa akakopa kwa hao majangili wa mishahara ya watu.
Wakuu hawa jamaa wanafaa kwa mikopo nataka kumalizia banda langu hebu nipeni ushauri