Recent content by moto ya mbongo

  1. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Huwezi kupanda ukiwa China labda uwe Ngarenaro
  2. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Sababu za Jenerali Ulimwengu kuzinguana na Mkapa hadi kunyang'anywa uraia

    Jenerali Ulimwengu aliamsha sana wananchi kujua nchi inaenda vipi kupitia makala zake na pia za waandishi wake. Nakumbuka Rai ilikuwa na makala nzito za kizalendo. .Waandishi wake akina Mbwambo,kulikuwa na mzee mseminari mmoja alipenda kulinganisha dola mbali mbali duniani kama Rumi na taifa la...
  3. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Samia kumteua Dkt. Evaline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri, kaivunja katiba ya Tanzania

    Hilo ni pandikizi lao CCM kutoka TISS lilipelekwa upinzani ndiyo maana kaland kwenye unaibu waziri. Asomaye na afahamu.
  4. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Wewe umefuata kuoa wake wengi uufurahishe mwili wako unaowaka tamaa mpaka uzeeke. Usitake tuchambue mapungufu mengi sana ya uislamu.
  5. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Hata kuizima JF ni mbinu Yao maana ilikuwa inaleta awareness kubwa sana maana wanaopata Kwa VPNs ni wachache. Na wameweka watu wao kuwa members humu kusifia , kupinga na kuleta hoja za uongo wakiwa kwenye payrols zao na wanapata bundles za maana na wanafanikisha . CHAMA KIMESHIKA HATAMU NA...
  6. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Tani 18.5 za dawa za kulevya zakamatwa, zilikuwa zinaingizwa kama mbolea

    Details zingine hazijawekwa ila hapo walipokamata ni bandari kavu ya Said Salim Bakhresa Sokota na pia huyo mtanzania Riziki Abdallah Shaweji (40) huyo mfupi hapo kwenye picha ana undugu na Salum Waziri (Mapete) wa Ikulu. Endeleeni kuleta taarifa kiurefu sio kukata baadhi ya taarifa muhimu...
  7. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    Endelea kuleta zaidi haya maongezi ya Club House
  8. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi ameandika mazito kwenye ukurasa wake wa X (Twitter) juu ya kufukuzwa Boni Yai na Wenzake CHADEMA wanahujumu harakati

    Fake news,spam acheni kuandika uongo . Moderators tuondoleeni uzushi na uongo. Paw Fang
  9. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Nchi tatu za Asia zajiunga nyuma ya Pakistan. Uturuki yasema itakaa mbele kabisa kukabili uchokozi wa India

    Sio kweli Mynmar ni jina la nchi iliyoitwa zamani Burma
  10. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Hakuna kitu huko nafuu NMB
  11. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

    Muache kupotosha Wakili Msomi Peter Madeleka yupo sahihi Kesi hii ni tofauti na Ile ya kina nyundo.. Kwanza tufahamu kuna njia mbili za kufungua kesi za jinai (Criminal cases) 1. Public procecution hizi ni jamhuri inakushitaki na inaendesha kesi kupitia kwa mwendesha mashtaka wa umma ambae ni...
Back
Top Bottom