Recent content by MotherBlithe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli members wote wa JF tunajiweza kiuchumi?

    😂😂😂 bana watu kila siku tunapigwa jua mjini. Kutafuta atleast hao watoy wajao wawe wakishua. Wenye maisha bora wengi hawapo JF.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Jeshi la Polisi: Zuieni maandamano ya CCM kesho

    Ahsanteh Jipu kwa kunisaidia kujibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Jeshi la Polisi: Zuieni maandamano ya CCM kesho

    Sidhani kama itawezekana kuzuiliwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

    Kichwa cha habari kiswahili maudhui kingereza. Chinga boy mimi sijaelewa hata
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

    Siy haki kupima IQ ya mtu kwa kutumia masomo ya darasani tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

    Inasemekana mtoto anarithi 80% ya akili ya mama. Kwa hiyo uwezekano upo. PS. Akili za darasani inategemea pia na kitu mtu anasomea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kufanya interview

    Idea nzuri kuhusu kufuatilia #Aqua ahsanteh kwa point
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kufanya interview

    Interview ni majanga. WanaJF na ile umemaliza oral interview wanakwambia we will call you after 3week na hawajafanya hivyo week 6 Sasa inamaana Ndiyo basi tena.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    Kabla hujanunua unatakiwa ujue km ni prefered or common stock/shares. PS ni ile ammount ya dividend iko fixed whether shares zimeshuka au zmepanda, CS inakuwa inaenda kulingana na profit made km imeshuka divindend inashuka & ikipanda nayo inapanda. Km comp ikifirisika prefered wanalipwa 1st...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    www.dse.co.tz
  11. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    Unafaidika Vipi? Kuna makampuni hugawa gawio (dividend) kwa wanahisa, na makampuni mengine hawana. Hivyo kabla ya kununua omba ushauri kwa brokers. Mf wa brokers ni km vile orbits securities, rasilimali, pitia web ya www.DSE. con km sikosei. Wsmeweka list ya brokers.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    Hisa ni vipande vinachouzwa kwa mafungu vikiwa vinaonyesha umiliki katika kampuni. Hivyo vipande vinaweza vikauzwa kwa mara ya kwanza kabla havijafika kaunta ya soko km vile DSE kwa bei fixed iliyopangwa na kampuni .ktk hatua iyo huwa inaitwa Initial Public Offering (IPO) . Na zikifika sokoni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania How To Start Your Own Small Business Consulting Service

    Ati wameweka discout ya Tsh.50/ LMAO serio
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni mkakati maalumu wa kupata pesa

    Point taken.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa pamoja kwenye mradi wa kilimo- (joint capital)

    Kwa idadi hiyo ya watu unayotaka kuanza nayo changamoto itakuja kwenye utekelezaji, maana patakosa ufanisi, commitment na kutofautiana kwa interest pia kila Mtu ataona anasauti. Anza wewe zen utapata tu shareholders baadae na sauti utakuwa nayo wewe as a founder wa hilo jambo. Kila lakher
Back
Top Bottom