Recent content by Motag

  1. Motag

    JamiiForums Tanzania Katika hizi kauli 3 kila mtu achague ya ukweli ni ipi kwangu ni 3.

    Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya Dhabi zetu, kama yanenavyo maandiko; NI KWELI KRISTO ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU Je ni dhambi gani na nini maana ya dhambi?? Yoh3:4Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa...
  2. Motag

    JamiiForums Tanzania Katika hizi kauli 3 kila mtu achague ya ukweli ni ipi kwangu ni 3.

    M Kauli zote ni za ukweli ila zimeongelewa nyakati tofauti kwa watu tofauti na zinatafsilika tofauti Wala hazigongani
  3. Motag

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Hamna shida
  4. Motag

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Nipo Dar es salaam-kigamboni
  5. Motag

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
  6. Motag

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    PROFESSION-PROCUREMENT IN LOG MGT EXPERIENCE-6MONTHS EDUCATION LEVEL; BACHELOR DEGREE LOCATION - DAR ES SALAAM-KIGAMBONI Nimemaliza TIA 2021; bacholor hainizuii kufanya kazi za ngazi ya chini kama certificate na diploma. N:B nimesajiliwa na bodi ya manunuzi PSPTB(active member)
  7. Motag

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Magufuli: Ni kweli kwamba Mungu yuko Mbinguni?

    Kwa umelewa wangu mim Mungu wa bible kweli yupo mbinguni ambapo ndio makao yake makuu, na ni roho yenye nguvu Ndio maana tunao amini tunamuomba na tunapokea kutoka kwake Ni kweli Mungu yupo mbinguni kwa mimi ninaye amin najibu ndio. Mbinguni ni wa wap?.... ni makaz yake Mungu japo kuwa Mungu ni...
  8. Motag

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    GENTAMYCINE Kweli kazi anapiga mpaka tunamwogopa itakua ameshushwa
  9. Motag

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Sio kweli humpendi Mungu roho zetu zinampenda Mungu 100% na kumjua tatizo liliopo ni kuweza kupata ufaham wa rohoni uweze kuushinda mwili na njia pekee ni roho mtakatifu if u real want to know God njia zake unazijua find him na utamuliza maswar yote hayo kuna watu hapa hapa dunian wana ongea na...
  10. Motag

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Muombe Mungu akupe neema
  11. Motag

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Imagine isengekuwepo biblia takatifu wala qur'an tukufu
  12. Motag

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Walio andika biblia hawakuandika kwa akili zao bali kwa msaada wa roho mtakatifu na yale yaliyo andikwa kwenye biblia n roho inabid usaidiwe na roho mtakatifu kuweza kuelew maneno yaliyo andikwa kwenye biblia kama huelew n bora uombe msaada kwa watumishi wa Mungu
  13. Motag

    JamiiForums Tanzania Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

    Kama kwel unamtafuta Mungu aliye mkuu michango sio tatizo Mungu huwa anaonekana sana katka utoaj kwa sababu yeye Mungu mwenyew natural yake n utoaj huwez kubalikiwa kama sio mtoaj tatizo watu weng wanaenda makanisani sio kwa ajil ya kumtafuta Mungu ndio wakisikia michango wanaona sio sawa
  14. Motag

    JamiiForums Tanzania Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

    Dini ni taratibu walizo jiwekea wanadam katka kumtafuta Mungu na kumfikia kwa iman wanayo amini
Back
Top Bottom