Recent content by moshy janga

  1. M

    Nahitaji mume mwema jamani

    kama kweli uko serious nipe contact yako. hivi nasubiri
  2. M

    Nahitaji mume mwema jamani

    kwanza wewe uwe mke mwema mi pia natafuta mke mwema
  3. M

    urafiki

    natafuta family friends
  4. M

    Urafiki

    ndugu zangu wa jf mimi natafuta marafiki wa damu, naishi Geita ni fundi welding natafuta family friends.umri wangu ni miaka 45 .
  5. M

    Nimeku "miss" kwa kiswahili

    kumiss ni kukosa,kwa hiyo huwezi kukosa kitu wakati umekikamata ima umekikumbatia.
  6. M

    Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Madame B, Huenda una uoga fulani,lakini rejea tena kwa daktari akupime.
  7. M

    Tatizo sio mapenzi ila tatizo ni ................

    umri si tatizo, tatizo mwenzio ni mwanafunzi
  8. M

    nipokeeni

    wana jf bila shaka mu wazima Mungu awabariki sana muanze siku vizuri na mwisho uwe mzuri
Back
Top Bottom