SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
- Thread starter
- #21
Muache mtoto asome.
tatizo nkimuacha ntamchanganya manake ananipenda sana.
Muache mtoto asome.
Div 0 naiona kwenye kona
O level mbali kaka,utamfelisha,mpe mda wa masomo asome kwanza,age difference hyo ni sawa ila acha asome kwanza.
nna demu wangu ambae tunapendana sana kwa hiyo kuhusu mapenzi kwetu hakuna tatizo kabisa.... Tatizo ni kwamba mi nimemzidi miaka minne (4), je wadau hilo sio tatizo kweli!? Maana wakati mwingine huwa najihisi kama mimi ni 'KAFATAKI' vile. Halafu kibaya zaidi yeye bado anasoma halafu mi nshamaliza kitambo so sometime naona kama nampotezea muda wake wa masomo coz siku nyingne anawahi kutoka shule ili aje home kukaa nami... Na akikaa na mimi ni story za mapenzi tu na sio kuhusu masomo yake. Hebu nshaurini wadau....
Kwani ww una miaka mingapi kaka? Yeye yupo kidato cha ngapi? Una mpango gani naye; I mean ndio mkeo mtarajiwa au unapita tuu? Ukishajibu hayo ndio nitakuambia ww ni FATAKI, LIFATAKI au KAFATAKI
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nna demu wangu ambae tunapendana sana kwa hiyo kuhusu mapenzi kwetu hakuna tatizo kabisa.... Tatizo ni kwamba mi nimemzidi miaka minne (4), je wadau hilo sio tatizo kweli!? Maana wakati mwingine huwa najihisi kama mimi ni 'KAFATAKI' vile. Halafu kibaya zaidi yeye bado anasoma halafu mi nshamaliza kitambo so sometime naona kama nampotezea muda wake wa masomo coz siku nyingne anawahi kutoka shule ili aje home kukaa nami... Na akikaa na mimi ni story za mapenzi tu na sio kuhusu masomo yake. Hebu nshaurini wadau....
so unanshaurije?
Asee mwache mtoto wa watu asome yan unawaza kugegeda tu hata mtoto wa O level, tumia mdomo kutongozea sio kula tu.. chukua size yako kwa sasa mbona wapo wengi mtaani
miaka yangu siri ila ni under 21.. Yupo kidato cha 3. Mi sina mipango nae ya ndoa coz mda bado sana ila tunapendana sana.
Mmmmh umemaliza shule kwa miaka mingapi? na wewe duh under 21.. nadhani ni form four leaver wewe lakini kuwa nakini huyo demu atakupeleka segerea, utakuja na thread nyingine hapa, nimempa mimba mtoto wa kidato cha nne nifanyaje? hao watoto wana matatizo we endelea kujidanganya anakupenda sanamiaka yangu siri ila ni under 21.. Yupo kidato cha 3. Mi sina mipango nae ya ndoa coz mda bado sana ila tunapendana sana.
Hizo ni washawasha tu,tulia baada ya miaka mitatu au 4 ya chuo ndo utaweza sema is a right person 4u,kwa sasa acha asome afke hata na wewe ulpofka.
Under 21 dogo,mnakimbiliaga nini jamani huko kwenye huo ulimwengu watu wanalia kila siku.
Ikiwa wewe upo chini ya miaka 21 na mwenzio umempita 4 miaka(16),kashajua kukeshea mtalimbo kuna shule hapo?
Nakushaur usimwache kwa sasa ila anapokuja kwako msisitize kusoma na stop story za mapenz.....!
Mmmmh umemaliza shule kwa miaka mingapi? na wewe duh under 21.. nadhani ni form four leaver wewe lakini kuwa nakini huyo demu atakupeleka segerea, utakuja na thread nyingine hapa, nimempa mimba mtoto wa kidato cha nne nifanyaje? hao watoto wana matatizo we endelea kujidanganya anakupenda sana
Na akikaa na mimi ni story za mapenzi tu na sio kuhusu masomo yake.
wee mgegede tuu akifeli hamna tatizo atakiwa tayari ana skill ya kukatiza mauno so ataenda uza.
my dog....!....!