Udini? Mkuu its not fair, udini unaingia wapi hapo, jamaa kasema anawasaidia wasanii wa mkoa wake, pia unaelewa hao wasanii wamo wasanii wengi maarufu,so hayo mashirika najua yametumia hyo ili kujitangaza, pia, wasanii hao wapo wakristo na waislamu,mfano linex mkristo, diamond muislamu, baba...