Recent content by mosesmwambapa

  1. mosesmwambapa

    Niko njia panda,naombeni ushauri

    Duh! Sina uhakika na hoja yake dhaifu kama ina lengo zuri juu ya mapenzi yenu, hainiingii akilini hapo jiongeze na ww kaka...***mu-block nambazenu kwa miezi mitano???***
  2. mosesmwambapa

    NINA IMANI NA MHE:MAGUFULI KURUDISHA HADHI YA SHULE ZA SERIKALI.

    Ni lazima kero wanazokutana walimu ziondolew kabisaa mabo yataenda ma miundombinu ya shule iboreshwe.
  3. mosesmwambapa

    Tembo aua Majangili wawili Mikumi

    Hahahaaah!...uyo Tembo anastahili apelekwe Bungeni akashuhudie!!!
  4. mosesmwambapa

    Downlad videos straight from youtube

    Nenda kwenye url andika m.tubemate.net arafu fuata maelekezo apo juu.
  5. mosesmwambapa

    Downlad videos straight from youtube

    HABARI NJEMAAAA!!!! Kwa wanao tumia cm Android smart phone ukitaka ku download videos frm you tube usipate shida install software inaitwa tubemate nenda kwenye url andika Tubemate...worlds most versatile tube-squeezer, toothpaste-squeezer. ikifunguka chagua opera store ikifunguka click download...
Back
Top Bottom