Recent content by Mosesmoi

  1. Mosesmoi

    Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

    hapana mkuu.. labda urudi kupiga MD ndio uingie ophthalmology.. zamani kulikuwa na kitu kinaitwa Advanced diploma in clinical optometry lakini ilifutwa.. ilikuwa unapiga kazi kama ophthalmologist tu
  2. Mosesmoi

    Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?

    1.optician huyu ni mchonga miwani 2.optometrist huyu anahusika na matibabu ya awali/msingi ya matatizo ya macho.. ni daktari 3.ophthalmologist ni daktari kamili wa macho karibu sana KCMC mkuu
  3. Mosesmoi

    Wauza smartphone tukutane hapa

    PC (hp) Ram 4gb Storage 500gb 7th generation 15 inch Price 400k
  4. Mosesmoi

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone XR 128gb.. very clean na ndio naitumia hapa..price 750k
  5. Mosesmoi

    Whatsapp status not uploading

    Wakuu.. hii changamoto nawezaje kuitatua..? Status ya aina yoyote iwe video picha au maneno zinagoma kabisa kuwa uploaded.. nimejaribu kufuta na kudownload upya whatsapp shida iko pale pale.. Msaada wenu
  6. Mosesmoi

    Mwenye namba za simu za Kilimanjaro college of Health and Allied Sciences

    njoo pm nikuunganishe na wanafunzi wa pale.. wakupe info’s kuhusu hiyo kozi
  7. Mosesmoi

    Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

    Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili kozi
  8. Mosesmoi

    Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

    Hajakidhi vigezo vya nacte,hiyo F ya maths ndio tatizo.. at least angekuwa na D pale mvumi wangemchukua haraka Sana
  9. Mosesmoi

    Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

    Achana na optometry mkuu huwezi pata.. hata private pale mvumi hupati... Naifahamu hii kozi nipo mwaka wa tatu sasa apa kcmc
  10. Mosesmoi

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mat***o kweli ww
  11. Mosesmoi

    Je, NACTE washafungua Applications vyuo vya Afya 2020/2021?

    Mkuu em relax...unataka vyuo vya serikali basi subiri nacte wafungue dirisha la udahili...
  12. Mosesmoi

    Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    [emoji16][emoji16][emoji16]sio peke ako mkuu... Kuna jamaa yangu apa nae analalamika kama wewe
  13. Mosesmoi

    Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    Dirisha nimeona lipo open Leo... Wale wa nacte changamkeni
Back
Top Bottom