Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,487
Wadau naomba mnisaidie,
Kuna dogo Tunataka afanye applications
Kati ya Nursing, Pharmacy Au Clinical officer,
Je Mda wa kufanya app ushafika?
Au jee kuna vyuo vimefungua maombi vyenyewe?
Chuo gani kizuri cha serikali Kwa kada hizo?
Msaada kwa yeyote mwenye kujua ndugu.
NOTE : Kwenye website yao hakuna update yoyote kuhusu hilo, na kutokuweka kitu haimaanishi 100% hamna kitu, Muda mwingine wanachelewa.