we kama unakazi zako nenda mwache hm mwachie ela yamatumizi,ukiludi jion utapata jibu kama wakuondoka ataondoka kama,kama sio wakuondoka utamkuta,alafu jikaze kiume usioneshe unamjali sana,yani fanya kama akitaka kwenda poa,uone moto wake,anatikisa kiberiti,akikaa ndio uanze kufatilia kimya...