Ukanda na ukabila sio kigezo cha uongozi safi.. Magufuri aishie kwao uganda na wazinza wenzake wote halafu aache kutumia jina la kisukuma wakati yeye ni mzinza, kama kaweza kuukimbia uzinza na kuvaa usukuma vp akipewa nchi...?
duuuh!!!!! ccm vilaza kweli yaani mnakodi hadi farasi kupambana na watu wasio na silaha? ama kwwli amani ni uzuzu wetu wananchi... yaani maandamano ya aamani kudai haki ya msingi mnatumia farasi,mbwa na AK 47 aisee! VP alshaabab wakitua hapa nchini itakuwaje? vilaza wakubwa nyie
tuwe wachumba na tusikutane kimwili mpaka ndoa, je nitajua aje kama mzigo upo au laa maana wengine mumeumbwa na kikojoleo tuu na mnadhani mzigo. Mali lazima ikaguliwe na kufanyiwa mazoezi kama inahimili mziki...
watake wasitake maandamano yako pale pale na yatatikisa viunga vyote vya arusha.... mtakamTa na kuweka sero makamamda wetu lakini fikra zetu hazibadiriki... mtashindana lakini hamtashinda daima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.