Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Kangi Bomba sauti ya wanyonge wasiomjua ndio wanambeza,ila kwa hakika ndiye mkombozi wetu sisi wanyonge.
 
Acha kabisa huyo jamaa.Ni Mtanganyika wa ukweli.He usually calls spade a spade.

Kbs,ht ukifika kibara jimboni kwake ni km vile hana mpinzani. Jamaa anapendwa sn na wananchi wake.
 
Kangi Lugola ni miongoni mwa wanaccm naowakubali sana kwani hayumbishwi na MTU yeyote ndani ya chama chake cha magamba
 
Ukiona jk (ikulu) wanatafuta mariadhiano ( ambayo waliyakataa toka mwanzo) ujue kuna jambo nyuma yake. Kuna wajumbe wataiingiiza mkenge ccm (300,000 perday watachukua) na hawataipigia kura katiba ya ccm na Sita wao kutimiza akidi wanayojigamba nayo.
 
Mh. Kangi Lugola, AMSHA MACCM yamelala ka yule jirani yako kule bungeni. Mzee mzima udenda ukamshuka. Ptuuuu. Waamshe Kaka yetu. Waambie kumekuchaaaa.
Hiyo akidi ikifikia, tutajua Sita ni kiboko. Wewe umehesabu wale wa Tanganykia tu, tuambie na hao wa Zenj ni wangapi wanaovuta mkwanja tu na kwenda kunywa Gahawa!!! Kweli sikio la kufa... CCM, hamtoki kwenye hili la katiba, mwenye kujiheshimu anasepa taratiiib
 
Katika magazeti ya leo,mbunge tajwa hapo amenukuliwa akisema kuwa CCM wana hofu kwakuwa wabunge wake 25 hawaingii bungeni.

Ufafanuzi tafadhali: Hao wabunge 25 wa CCM ni kutoka Zbr?????? Kama ndio, nakula kasungura kangu leo.
 
Zungmzieni umagambani kwenu huko huko Mbeya hamtuwezi magamba.
 
Mimi nimekumbuka alilosema CCM imepoteza dira
Kwa maana hiyo alikuwa anamaanisha kuwa ni sawasawa na manowari ikikosa dira baharini, itashindwa kujua inakoelekea.

Ndivyo CCM ya sasa inavyoyumba, kiasi ambacho haijui kama inalekea kaskazini au kusini!

Lakini tukumbuke kuwa, kusema kwake 'ukweli' kulimsababishia aende kuudongo!
 
Ukweli ni ukweli tu,hao wabunge wako sahihi sana.
 
Back
Top Bottom