CHADEMA yatosha!

CHADEMA yatosha!

nchi hii bila CDM kikwete angesha fukuzwa CCM, maana hajawahi kuwa na maamuzi hadi asikie CDM ina taja wahalifu,

rejea Epa, mizigo n.k
 
UKANDAMIZAJI WA CCM SASA BASI..........Sikujua kuwa kabla sijalala ningekutana na sala njema namna hii, ubarikiwe mkuu, Watanzania wameshatosheka na adha ya magamba kama sio magome hata sijui ni ya mti au mdudu gani, magamba yamekuwa magumu utadhani nini...........kha!
Kweli mwanangu tuko pamoja.
 
Baada ya CHADEMA kufanya chaguzi zake kwa ufasaha, bila kutumia rushwa wala kutengeneza makundi chamani, utawasikia magamba wanakuja kuweweseka humu badala ya kuiga mfano bora wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom