Recent content by Moseley

  1. Moseley

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Iliwahi kunitokea pia. Mimi nilianguka nikapigiza kichwa though sikuanguka vibaya.. Mke wangu alinisikia nikikoroma, akaja kanikuta chini. Nilikua naona kama naota kama kizungu zungu hivi.. Ilikua immediately baada ya haja ndogo... Nilienda hospital moja kubwa kuchunguzwa, nikaanza na...
  2. Moseley

    JamiiForums Tanzania Uchovu na usingizi siku moja baada ya ku-sex

    Dengu
  3. Moseley

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Saivilla na Gentle hills.. panatosha pako vizuri
  4. Moseley

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Sijapitia uzi wote, ila tafuta vitabu hivi na uvisome vyote.. 1. THE SECRET TERRORIST 2. THE ENEMY UNMASKED.. Halafu urudi.
  5. Moseley

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    Taarifa ya habari ITV bila George Marato, inakua haijakamilika...
  6. Moseley

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mwanakijiji, tatizo Dr Slaa, anaonekana kumwongelea Lowasa peke yake. Jana alivyoambiwa kuongelea ufisadi, alionekana kuegemea upande mmoja tu na kuonekana kumsifia Magufuli. Swali nalofikiri, kwa nini Dr Slaa asingemkatalia Gwajima in the first place? Kwa nini alimuanganisha Gwajima na...
  7. Moseley

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mbona wingu liko clear hivo? Hiyo sio DSM.. Huoni hali ya umawingu mawingu ya leo? Acheni propaganda.
  8. Moseley

    JamiiForums Tanzania Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

    Ni hapa ndo tukio lilitokea. Hapa nilipiga picha kama 40mins baada ya tukio.
  9. Moseley

    JamiiForums Tanzania Software kwa ajili ya SACCOS

    Ofcoz yangu ni web based
  10. Moseley

    JamiiForums Tanzania Software kwa ajili ya SACCOS

    Nitafute mkuu.. Nina software ya aina hiyo 0759877896.
  11. Moseley

    JamiiForums Tanzania Nina Tshs. 300,000, Naweza kuifanyia nini ili mpaka July niwe nimepata ada ya Tshs. 1,114,400?

    Jaribu kwenye foundation zile kama za flavianamatata foundation. Wanaweza wakakusikiliza.
  12. Moseley

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Toyota Voltz au Toyota Alex

    Naomba ushauri. Nina mpango wa kuagiza gari moja kati ya hizo mbili. Nichukue ipi? Na kwa nn?
  13. Moseley

    JamiiForums Tanzania Kafulila vs Zitto, Nani aliibua hoja ya Escrow Bungeni?

    Anawayawaya.. analewalewa.. simweshimu tenaa.. ni saa ya ufufuoo na uzimaaaaa... mambo ya gwajima
  14. Moseley

    JamiiForums Tanzania TANROAD usingizi Fofofo, Rwanda kuisaidia Tanzania kujenga barabara

    Kila kitu kijasusi!
Back
Top Bottom