Kafulila vs Zitto, Nani aliibua hoja ya Escrow Bungeni?

KIBARAone

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
642
Reaction score
243
Wakuu mwenye kujua ukweli huu Kati ya hawa wabunge nani aliyeanzisha HOJA ya ESCROW kule mjengoni?

Kwa ufahamu wangu mm najuaga ni KAFULILA lakini ZZK naye anatamba kuwa yeye ndiye the founder wa ESCROW...!!!!
 
Kafulila ndiyo aliyepewa mzigo wote..... Zitto amepata taarifa za juu juu kama wengine ila swala lilipofika PAC ndiyo Zitto akalijua kiundani. Mtu wa kujikweza kama Goliati huyu
 
Tumbili ndio kila kitu, maana yeye alikua anapewa mapande murua na kina Mkono na Mengi.
 
Kafulila ndiyo aliyepewa mzigo wote..... Zitto amepata taarifa za juu juu kama wengine ila swala lilipofika PAC ndiyo Zitto akalijua kiundani. Mtu wa kujikweza kama Goliati huyu

Kweli huyu mtu hufai kabisa. Nimeamini ni msaliti coz leo anadai kuwa kaiangusha serikali kwa HOJA ya ESCROW akiwa mwasisi
 
Kuelewa nikitu kidogo sana zitto akuibua chochote Bali yeye alifanya kaz ya kamati na mshangaa zitto sana alivyo mbinafsi kilakitu anasema kafanya yeye lakini anasahau kwamba kazi niya kamati sio yake peke yake
 
Wakuu mwenye kujua ukweli huu Kati ya hawa wabunge nani aliyeanzisha HOJA ya ESCROW kule mjengoni?

Kwa ufahamu wangu mm najuaga ni KAFULILA lakini ZZK naye anatamba kuwa yeye ndiye the founder wa ESCROW...!!!!

Kafulila aliyeitwa tumbili,akaungwa mkono na ukawa
 
Haya mambo tuelewe kwamba yanatoka ndani ya serikali kwa watumishi wasiopenda kuona nchi yetu inatafunwa na haya mapanya.
Kipindi cha scandal ya buzwagi Zitto alikua bado akiaminika kwamba ni mtetezi na mtoa hoja makini so issue nyingi alikua akipewa yeye au katibu mkuu Slaa na kuzipeleka ndani ya chama zikafanyiwe uhakiki kwanza kabla ya kuzitoa hadharani na ndio sababu hoja ilikua ikitolewa kila mbunge wa Cdm unakuta ana detals zote za kuikomalia lakini baada ya kujiunga na mapanya wakaacha kumpa issue.

Hii issue ya escrow walitafuta mtu anaeweza kuirepresent na ambae sio double agent kama zzk wakampa mh kafulira na mkikumbuka wakati akitoa hoja alipata sapport toka kwa Halima mdee ambae tayari alikua anaijua nje ndani,baada ya kuikomalia wakiungwa mkono na ukawa Pinda akaamuru CAG afanye uchunguzi wa hii kashfa.
So CAG akafanya kazi yake akaiwakilisha bungeni kwenye kamati ya kina Zitto,wao walikua na kazi moja tu kuipitia na kuiandaa na kutoa maazimio ya nini kifanyike.

Alieleta swala la escrow bungeni ni kafulila na sio zitto.
 
Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.
 
Kafulila ndio mwenye escrow

Cha ajabu msaliti ndio kaidandia kweli hoja kama yake
 
KAFULILA ndo aliibua. Zitto alisoma tu report ya kamati ya PAC ambayo ilijishibisha kwa details zake kutoka kwa CAG.

Thanks to Rudovic!
 
Wakuu mwenye kujua ukweli huu Kati ya hawa wabunge nani aliyeanzisha HOJA ya ESCROW kule mjengoni? Kwa ufahamu wangu mm najuaga ni KAFULILA lakini ZZK naye anatamba kuwa yeye ndiye the founder wa ESCROW...!!!!
Acheni wehu jamani...walianzisha Hoja ndio nini?Wao ndio walipanga wizi? Wizi wa kijinga km ule lazima ungeletwa tuu...sansana kafulila alipoleta Zitto ndio akadandia ili ateke hoja ya kutokea CDM huku akijaribu minimize damage kwa mabwana zake za CCM.
 
Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.

Bora ww mkuu umecoment kama GT sasa hao wengine naona ni mazuzu na mashabiki wa chadema /ACT
Maana hata pac wenyewe wakati wanahitimisha ile ripot they acknowledged the citizen .
Lakin kama uivosema hapo juu hao manyangau /mafisad walimuona zit to kama threat person kulikuwa kafulila because of his best .Ndiyo maana akina maswa kwenye ile press conference Na wandishi wa habari walikuwa wanamtajataja sana ZITTO kuliko kafulila kwa sababu they knew the man very well
 
Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.

Nijuze hapa Zzk katumika wapi,nakumbuka mtu aliesimama na mh Kafilila ni Halima Mdee ebu tufafanulie.
 
Wakuu mwenye kujua ukweli huu Kati ya hawa wabunge nani aliyeanzisha HOJA ya ESCROW kule mjengoni?

Kwa ufahamu wangu mm najuaga ni KAFULILA lakini ZZK naye anatamba kuwa yeye ndiye the founder wa ESCROW...!!!!

Zitto mdandiaji tu kwa vile anapenda sifa. Hoja kaibua Kafulila tena kaing'ang'ania hata pale madam speaker alipotaka kumtolea nje yeye kasimama kidete. Almanusra apigwe na former AG pale alipomwita mwizi naye kumwita tumbili. Zitto.ni kwa vile alikuwa mwenyekiti wa PAC otherwise wala.asingesikika. Yeye azungumzie fedha ya Uswis ambayo hadi anajifukuzisha ubunge kwa kushindwa kesi hakuifanyia lo lote.
 
Back
Top Bottom