Recent content by mosebasil

  1. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayekataa simu yake isiguswe na mumewe ni muhuni?

    Simu ya mkononi hilo ni jibu tosha
  2. mosebasil

    JamiiForums Tanzania wabunge wa Chadema anzeni kufungasha mizigo 2020 hamtapita

    [emoji12] [emoji12]
  3. mosebasil

    JamiiForums Tanzania wabunge wa Chadema anzeni kufungasha mizigo 2020 hamtapita

    Hahahaha hatareeee mweeeh
  4. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini msichana akijua unampenda anakufanyia visa?

    Mwanaume unatakiwa kumjali mwanamke na siyo kupenda kwani kazi ya kupenda wamepewa wanawake watupende ili tuwajari sasa ukijitia kiherehere kuwapenda utalia wewetu
  5. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Mara nyingi huwa wanawake hujisahau kwenye lugha na majibu yao,usafi,kila kitu Dada wa kazi anaachiwa yeye na kujifanya wao wapo bize au wamechoka na kuwa karibu na mashoga kuliko care ya mume so hapo lzm uachwe Mimi yamenikuta hayo nichofanya MTU alipewa likizo aliporudi alijikuta kanyooka...
  6. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Ukitaka kuishi na mkeo milele usimfuatilie suala la kuchepuka vinginevyo ni lazima utamkamata na itakuwa kama ilivyotokea kwako duniani hakuna mwaminifu hilo unatakiwa kulitambua arafu ulipuuzie utaishi maisha mazuri sana
  7. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na bikra kwa mara ya kwanza, simuachi

    Hapo sasa
  8. mosebasil

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Kama alivyosema msimuliaji wa hii story tuwe watulivu tutajuwa na kujifunza mengi maana kila jambo na wakati wake
  9. mosebasil

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mkuu kweli kuhusu huyu Dr shika hata Mimi naona ni MTU wa pekee sana kuna mengi sana anayo fanyeni hima tupate somo
  10. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukwambia

    Akisema ndiyo vzr mkuu maana ukweli humuweka mtu huru
  11. mosebasil

    JamiiForums Tanzania Mume mwenye sifa hizi anahitajika

    Njoo pm
  12. mosebasil

    JamiiForums Tanzania Mume mwenye sifa hizi anahitajika

    Njoo pm
  13. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mwili wa size ya kati asiwe mrefu ni balaa

    Tupia picha tumuone huyo unayemsifia mkuu maana siye wengine ni matomaso mpaka tuguse
  14. mosebasil

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

    Nifuate pm
  15. mosebasil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wa mtu anataka nifanye nae mapenzi, eti mumewe hawezi kitandani

    Usijaribu kumeza vipande vya chupa wachaaaaaa
Back
Top Bottom