Recent content by mosabi

  1. mosabi

    JamiiForums Tanzania kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

    Hahaha! Mwambie huyo hata uongozi wa familia yake umemshinda
  2. mosabi

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinachosababisha Serikali isione hili la Waislamu kukashifu dini zingine?.

    Nmh! Ungekuwa muungwana zaidi km ungenukuu kilechokuwa kinazungumzwa, kuliko kuja hapa na kujumuisha mambo!! Nacho ona unachotafuta wewe ni uchochezi wa kidini..! Elewa hizi ni dini 2 tofauti vivyohivyo itikadi na baadhi ya mafundisho hukinzana.. Na si kashfa km unavyotushawishi tukubaliane na...
  3. mosabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umevaaje

    mmh hahahaaaa
  4. mosabi

    JamiiForums Tanzania Daktari jijini Mwanza afia gesti jijini Dar

    RIP doc!
  5. mosabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume

    hahahaaaa.. ninyi ndo mnapenda kusikia mnapendwa na maneno mazuri!! ndo mana tunawapeni ya kutosha
  6. mosabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

    hahahahaa kwanza pole! hiyo sms ni kali mno... ungeitumia tu kama mlishawahi kukaa pamoja na kuliongelea hili halafu akashindwa badilika! nashauri kaa nae muongee mwambie jinsi unavyojisikia na vile amabavyo hupendezwi na namna anavyofanya! mueleze namna unavyotaka wewe..! lakini pia msikie na...
  7. mosabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Pamoja kwamba jamaa anachepuka, ukweli hayuko tayari 'kupigiwa' mke wake: sikushauri ujiingize katika 'uhusiano feki' huo kwani vita ake ni mbaya!
  8. mosabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa x wangu

    hahahaaaa hata hapo imemaliza muda mrefu!! nisingeshangaa pia ningesikia jamaa kaanza "kuchepuka" kabla hata ya wiki 2 toka aoe
Back
Top Bottom