Recent content by MO's

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    binafsi nakushangaa,!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania 150 Hamas operatives surrender to Israeli Defense Forces in Gaza

    there is a day!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

    tatizo descipline......... ninaowasikitikia ni wale ndugu zangu wanaotoka kwenye familia za ugala na mguu wa kuku... wazazi wamejitahidi myoto anaishia kupata zero ya kujitakia....... angalau basi hata ukapatakadegree kako ukakosa kazi hilo jambo jingine........ big up kwa wote mliofaulu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

    hapa sijui tupongezane kwa alteration of pass mark na kuongeza ufaulu! au ni kusubiri na kuona! jamani hii mimi inanitisha kidogo....
  5. M

    JamiiForums Tanzania PPF wameita interview

    samahani wana jf hii interview inafanyika wapi?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majonzi, Majonzi, Majonzi Nalia mimi jamani

    Jamani samahani kama nitawaudhi ila ni bora yeye kafa mara moja lakini huwezi jua huenda kamwacha mke ambaye ataishi binadani mfu for the rest of her life! let assume alimwamini mwenzake kwa 100% na leo hii kamfumania real inaweza kuwa imemuumiza sana mpaka kafikia uamuzi huo! Sisemi kafanya...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

    huu ni msiba wa kutisha jamani!!!! mijitu inajifanya makanisani na misikitini ina-attend halafu inaendekeza ngono ngono hadi kichefuchefu, hivi hiyo amri ya Mungu inayosema usizini kwa wakristo na usiikaribie zinaa kwa waislamu hamuisikii jamani, tulizana na wako, panga maisha ya familia yako na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    hey mnayoyasema ni kweli? Kama ndivyo basi vuteni subira ndugu zangu.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungwana naomba kufahamishwa

    Real interesting!!! Mtu kutoka kusikojulikana anakutumia sms eti kavutiwa na profile kibaya zaidi profile yangu haina picha yangu na some important information that catch someone's attention hazipo! Sidhani kama kuna yeyote atanasika kwenye mtego wa namna hiyo!!!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungwana naomba kufahamishwa

    Asanteni sana jamani, namshukuru Mungu sijawa mwepesi kuwajibu! Nilihisi somethingi is not right.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Kweli ni mimi niliyemkata bikira.

    SUBHANNALLAH!! kaka yangu inaonekana real you do have concern but i think hukupaswa kuweka kila kitu as u have did, pili ni vema ukamrudia Allah na kutubia ukweli ukweli naamini atakupa aliyebora kuliko huyo! Kingine naomba mwambie huyo mwnamke kama mumewe na matatizo ya msingi afuate taratibub...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungwana naomba kufahamishwa

    Hello my dear brothers and sisters! I hope you are doing great, I have been receiving texts through my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile today at /facebook.com/ and became interested in you,i will also like to know you the more,and I want you to send an email to my...
Back
Top Bottom