SUBHANNALLAH!! kaka yangu inaonekana real you do have concern but i think hukupaswa kuweka kila kitu as u have did, pili ni vema ukamrudia Allah na kutubia ukweli ukweli naamini atakupa aliyebora kuliko huyo! Kingine naomba mwambie huyo mwnamke kama mumewe na matatizo ya msingi afuate taratibub husika coz naye ni binadamu akiyajua haya tafadhali msimlaumu kwa uamuzi atakaouchukua na matokeo yake. Kuweni na huruma jamani na nyumba za wenzenu coz leo kwake kesho kwako!!! Tulizana kaka acha kujaribu wanawake kama unaonja mchuzi coz umesema kila unayeyekutana naye unakuta yuko wazi!!!! Real get back and repent al akhy!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.