Recent content by moryda

  1. moryda

    JamiiForums Tanzania Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

    Hahahahaa Lema ametoka Canada hajawahi kwenda Tanga.
  2. moryda

    JamiiForums Tanzania Rais huwa hatangazi Utalii

    My Son drink water ulitakuwa kusoma kwanza at least google kabla ya kuweka andiko lako. Mifano midogo tu Rwanda mhe. Kagame ambaye ni Rais wa nchi hiyo amefanya hiyo show then Poland pia Prime minister wake amefanya hivo so bro fanya research kabla ya kutoa povu kali.
  3. moryda

    JamiiForums Tanzania Pesa ilikuwa ndiyo sifa ya kwanza kwenye kura za maoni CCM

    Hujaweka hata evidence ya rushwa
  4. moryda

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

    Mwamba anachuki kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. moryda

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    Askofu ameamua kufuata nyayo za Mange Kimambi heheheee Sikumbuki kama kuna sehemu Yesu christo alihamasisha maandamono!
  6. moryda

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Amedhalilishwa vipi?
  7. moryda

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Amedhalilishwa vipi?
  8. moryda

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Umejenga hoja vizuri swali ni kwamba walinzi wake binafsi walikuwa wapi? Na kiongozi mkubwa unatembea vipi pekee yako usiku?
  9. moryda

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Ukifuatilia makala mbali mbali za AIR CRASH INVESTIGATION za National geographic utagundua matatizo kama haya ni ya kawaida sana kwenye ndege
  10. moryda

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Huo mtandao unaenda hakuna udukuzi?
  11. moryda

    JamiiForums Tanzania January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

    Umeanza boss
  12. moryda

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Nalaani Mbowe kuwekwa Mahabusu

    Sitaki kuamini kama kweli huyu ni mtoto wa baba wa taifa Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. moryda

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Umechambua vizuri sana bwana mayala
Back
Top Bottom