Recent content by morrine

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    dada vp ulifanikiwa kupata dawa ya fibroids make nina tatizo km lako tumeane taarifa jamani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika tambi

    Asante kwa pishi zuri kweli linavutia ngoja na mm nimwandalie toto angu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uvimbe ndani ya kizazi

    jamani mzizi mkavu naomba no . yako ya cm make nimefuatilia iyo ya mawasiliano nimeshindwa kuitumia napiga naambiwa haipo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shukrani nimejua kupika maandazi

    hongera sn
  5. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo shinyanga sec free accomodation, water & electricity nije moro , dom , dar , mwamza au pwani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Juu ya biashara ya Koni, Chopstic na Ice Cream

    ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo shinyanga secondary free accomodation, electicicty & water nije dodoma, moro town ,dar , mwanza, & pwani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    pole sana ndg, mimi ni shuhuda wangu mwenyewe nimesumbuliwa na tatizo hili la MAYOMA tangu nikiwa mjamzito hadi nimejifungua tena salama bila operation na mwanangu ana miezi minne sasa , nilipewa dawa za kuzuia moccarriage na bed rest , ila ni PM kwa maelezo zaidi naamini utapona mpendwa maana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa leo

    kongoro
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hedhi ya mabonge

    sijawahi tumia sindano ila wengi wanaotumia wanadai damu inakuwa nyingi zaidi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Kimara muda huu ikihusisha magari manne

    pole sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania 100 Percent Original human hair

    weka namba yako ya cm tuwasiliane
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pata line ya m pesa kwa jina lako

    sh ngapi?
Back
Top Bottom