Ajali mbaya Kimara muda huu ikihusisha magari manne

Ajali mbaya Kimara muda huu ikihusisha magari manne

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,218
Fuso lililikuwa linatokea Mbezi mwisho limeacha njia na kugonga magari manne na kuumiza watu kadhaa mpaka sasa bado watu wanatolewa chini ya fuso.

Ushauri .

Kwa kuwa kuna foleni kubwa unashauriwa kutumia njia nyingine za pembezoni.
 
Nimekatiza hapa nimeona fuso ilivyoiparamia hii coaster ila sijui majeruhi ni wangapi.
 
Hata aliye karib na eneo la tukio anaweza akaweka picha sio mbaya
 
Fuso lililikuwa linatokea Mbezi mwisho limeacha njia na kugonga magari manne na kuumiza watu kadhaa mpaka sasa bado watu wanatolewa chini ya fuso.

Ushauri .

Mwakuwa kuna foreni kubwa unashauriwa kutumia njia nyingine za pembezoni.

Njia za pembeni na mvua hujaiona nini?? Washauri waendeshe kwa makini
 
Back
Top Bottom