Recent content by morogorokwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau wa kuinstall 64bit program into 32 bit operating system

    NINA PROGRAM YA AUTOCAD 64 BIT je naweza ku install kwenda 32 bit? 0763 434957
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    acha uvivu soma kuanzia juu kila kitu kinaeleweka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    NGOJA NI SIGN OUT SIONI JIPYA HAPA toka nimeanza kusubiri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

    ninachomweleza matumizi hayajabadilika ila muda ndo umebadilika .... mara ya kwanza nilikuwa natumia Orxy ikakaa 4 monthes later nikanunua MIHAN ndio ilicho nistaajabisha kwa hiyo mayumizi yapo pale pale ila muda ndo umebadilika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

    Ndugu Nakushauri sana uchukue MIHAN GAS kwan inakaaa sana hiii nimeiona practically na ndo naitumia mpaka napata wasiwasi kama inakata leo au kesho ila ina zaid ya miez sita kwa kweli ninavyo kuambia kwan nimeinunua desember mwishon mpka sasa ninatumia! thanx
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza website

    Habar yenu wana JF naulizia wapi nitapata mtaalam wa kudisgn website ! nahitaji sana u can PM thanx in advance :faint:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza website

    Habar yenu wana JF naulizia wapi nitapata mtaalam wa kudisgn website ! nahitaji sana u can PM thanx in advance
  8. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    Thanx nawacheki hao jamaa i think i know them wapo jirani na mliman city
  9. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    asante sanaaa kwa ushauri wako nalifanyia kazi
  10. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    nimefungua kampuni inayo deal na vitu hivyo.... je tenda na kazi kwa ajili ya fani hizi zinapatikanaje KIHENGE ? NAFIKILI NIMEELEWEKA CAN WE MAKE CONSERVATION Privately if possible
  11. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    NIPO NCHINI NAMNA YA KUZIPATA SIFAHAMAU KAMA UNA KA UTAALAMU TUELIMISHANE nipo seriuos Kihenge
  12. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY, THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA Vitengo hivi? Asanten sana :deadhorse:<img...
  13. M

    JamiiForums Tanzania NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

    HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY, THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA KATITA Vitengo hivi? Asanten sana :deadhorse::deadhorse:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Toyota raum, probox 2004 na succeed

    ungetusaidia hata kutufahamisha hizo gari uzisemazo kuwa ni cheap na nzuri zaid
  15. M

    JamiiForums Tanzania laptop gani nzuri na ntapata wapi kwa sh ngapi approximately?

    CHECK ME ON 0763434957 I have HP620
Back
Top Bottom