Recent content by moringe lucas

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumsaliti mume wangu

    Cha msingi ukubaliane na matokeo majuto mjukuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Kwanza mi nianze kwa kukisifu chadema kwa mamuzi magumu japo walio chukua maamuzi haimanishi ni wasafi vya kutosha ama wanafanya kazi kwa weledi mkubwa. Ila kwa mtazamo wangu na namna ambavyo nimekua nikifatilia siasa za apa nnchini naweza sema mhesimiwa zitto kabwe katendewa haki sababu ziko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    Sasa nini wanacho pambania kuhusiana na punguzo la gharama za maisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Kirahisi hivyo na huyo mtoto
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema hajatulia, afungwe gavana, rahisi kusababisha mitafaruku

    Kweli ndugu yangu hata kama kuna uhuru wa kutoa maoni ila hapa umechemka fatilia siasa vizuri ns kuna uhusiani wake na maisha ya mtanzania halisi swala la historia ya chama ulipaswa kuzungumzia kama angekua katofautiana na vikao vya chama chake
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wasukuma; Je unaweza kuoa Mmakonde?

    Mwambie yeye asinde na wakati asubiri wakati umburuze, nyakati za kuangalia makabila umesha pita
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Ndugu pole sana Mungu akutie nguvu
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM Ni Disaster, Lakini CHADEMA ni Catastrophe!!!!!!

    Kaka umenene vyema maana hujaegemea popote ila tukipima hapa mi naona tungewapa chadema maana pamoja na kwamba viongozi wa ngazi za taifa hawana weledi mkubwa wa kuliongoza taifa lakini wanaushirikiano na walioko ngazi za chini wenye utashi mkubwa na mimi kikubwa ninacho kiona hapa ccm...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mshahara wa Rais Wa Bongo Million 32 Ni Peanuts Kulinganisha na Wengine Africa na Mambelez!

    Mwana jf mwenzangu nishanga sana kama unasoma na uwelewi ebu niambie ni nnchi ipi tulio wazidi kiuchumi tukawa juu hata kwa kufuta bugdet za nchi je ni kenya, ungereza marekani ambao mshahara wa baraka obama kidogo ulingane na kikwete huku ukijua wazi bugdet yetu aija fikia hata ya wizara moja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

    Ni vema kutujuza lalikini kama kijana amrkiri anapa kila anacho kihitaji basi yetu yawe macho ili mradi asinyanyaswe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Weusi katikati ya mapaja

    Ndugu uko wapi kama uko Arusha niambie nikupe contact akushahuri ni wa uwakika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

    Ndugu yangu nchi hatawaliwi na viongozi wa kuona kwenye ndoto br carefull
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri machine ya uzalishaji

    Ndugu uja ainisha ni msaada wa machine ya aina gani unataka yakusaga ya kukoboa ama ya kupukuchua mahindi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Balozi wa China: CCM inahusika, msajili wa vyama kimyaa!

    By moringe lucas Wajameni watanzania wezangu penye ukweli tu semeni ukweli na tuache ushabiki wa vyama na tutoe mitazamo yetu ya kufikiri kila kinacho fanywa na ccm ni mabavu ama chadema ni watu wa kulalamika kuna mengine yanayo fanywa na viongozi wa vyama kwa kukurupuka bila kutumia utashi wa...
Back
Top Bottom