Recent content by Morick

  1. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam kinahitajika haraka

    Nipo Dar es Salaam nahitaji King'amuzi cha Azam kilichotumika. Tafadhari aliyenacho anitafute kwa namba 0717378462
  2. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam Mwanza kinahitajika

    Nipo Dar es Salaam nahitaji King'amuzi/decoder pekee ya azam, tafadhari aliyenayo 0717378462
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nafasi ya masomo Australia?

    Thanks
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma UKAWA wafunika kufunga kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakati CCM wakiwa hawaeleweki wanafungia wapi kampeni zao mji wa Tunduma katika viwanja vya shule ya msingi mlimani wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA wamefulika kwa wingi na hii haijawahi tokea katika historia ya mji huu kwa uchaguzi kama huu kuhudhuriwa na watu wengi kiasi hiki. Kampeni hizi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dk 45 ITV: Wassira anazungumza juu ya Katiba Mpya

    anashindwa kujenga hoja ati hajui nin maana ya ukawa
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tukuyu nije kibaha au dar idara ya sec
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lema yupo ITV Live

    Watu wengine mambulula kweli nani kakwambia lema kaitwa? acha kukurupuka wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge 15 waliokula Posho bila kusafiri Matatani

    Daaaah! Mbona watu huwa mnapenda kutoa koment bila kusoma kilichoandikwa, soma kwanza kilichoandikwa kijana usikurupuke kama kichaa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge 15 waliokula Posho bila kusafiri Matatani

    Watu wengine vichaa kweli, hivi umesoma habari ya mleta uzi? sasa unakurupuka nin? Acha ukichaa wako
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge 15 waliokula Posho bila kusafiri Matatani

    Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine wakikatisha safari zao. Akizungumza katika mahojiano maalumu jana na mwandishi wa gazeti hili, Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah, alisema tayari fedha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nmb nmb nmb

    Wanabodi naomba kufahamishwa au kuelimishwa kuhusu nafasi ya wakala katika bank ya NMB. Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa wakala katika bank ya NMB ana kazi zipi na analipwa kiasi gani? Naomba kuwasilisha. ASANTENI
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kweli upo serious au unazuga?
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Unasemaje? Ebu funguka
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vitalu vya madini aina ya gypsum vinauzwa kwa bei ndogo sana karibu

    Nauza vitalu/PMLs za Madini ya Gypsum kama mchanganuo unavyoonesha hapa chini Minerals Types of minerals : Gypsum Location : Makanga village, kiranjeranje ward, Kilwa district Status of PMLs : Certified by Ministry of Energy and Minerals Area of PML : 10 hectares each...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Japanese car importer/muagiza magari toka japan

    Pamoja sana mkuu, ebu niambie Toyota hilux pick up double/k inapatikana kwa sh mpaka inafika mikononi mwangu vile
Back
Top Bottom