Ni katika kipindi cha dakika 45 ITV, Wassira analonga na Watanzania
bingwa wa hoja za siasa mzee wasira yupo itv kipindi dk 45
Lipumba hafai kuwa kiongozi wa kitaifa!Yuko live dk.45 za ITV sasa hivi,anasema Lipumba alikasirika kwa sababu Lukuvi alitoa maoni juu ya Katiba Mpya kanisani(READ:Lipumba ni mbaguzi na hivyo hapendi kusikia Wakristo wakiongea)
uchunguzi unaonyesha kuwa Mzee Wassira ndie mwananchi anayeongoza kwa kuchukiwa.
Wassira anamwaga data kwa weledi wa hali ya juu.
Namsikiliza kwa makini sana!