Recent content by morgan7

  1. morgan7

    JamiiForums Tanzania AdSense and CTR. tujadili apaa CTR inausika vipi na AdSense kua banned

    Nimekuambia. Ivii nipe maana ya CTR na vigezo Vyaje. Xjakuulza ulifanya Kaz gani
  2. morgan7

    JamiiForums Tanzania AdSense and CTR. tujadili apaa CTR inausika vipi na AdSense kua banned

    Na kingine akuna kitu Cha kukihofia Kama CTR kua kubwa plz Google it
  3. morgan7

    JamiiForums Tanzania AdSense and CTR. tujadili apaa CTR inausika vipi na AdSense kua banned

    Sawa. Sipingani na hoja yako Pia ndomaana chini ya post nikaandika samahani kwa makosayangu ya uandishi Kingine. Apa tuelekezane na sio panic sizizo na maana. Nakushauli tafuta maana ya CTR na tafuta Normal CTR ningapi alafu uje utupe jibu hapaa. Nakusubili Kama ukipata jibu la CTR...
  4. morgan7

    JamiiForums Tanzania AdSense and CTR. tujadili apaa CTR inausika vipi na AdSense kua banned

    Oy niaje Wana. JF Nimeona post nyingi kuusu. AdSense kua banned kwa upeo wangu mdogo 😁😁 Na vitu viwili vitatu. Nilivo Google nimegundua. Kwamba ukiachana na organic traffic. Kua nzur na really traffic kitu ambacho tunakisahau Ni. PAGE CTR sababu unaweza kukidhi vigezo vyoote Ila...
  5. morgan7

    JamiiForums Tanzania Google payments via western union

    Anhaaa sawaa nimekusoma sasa
  6. morgan7

    JamiiForums Tanzania Google payments via western union

    Asante Kiongoz
  7. morgan7

    JamiiForums Tanzania Google payments via western union

    Habari. Wana JF naomben Naomben munielekeze jinsi ya kutoa pesa kutoka Google AdSense maana nimeona Kuna ki pick. Payment kwenye Western Union ilio kalibu na eneo nilipo ndan ya sku 60. Sasa. Naitaj ufafanuz Zaid Kama. Kunaulazma. Wa ilo au niaje niajee. But. Najua kwamba. Kitambulisho...
  8. morgan7

    JamiiForums Tanzania Undani wa kilichotokea kwa 'bilionea' wa madini Arusha, dhana ya makafara na mwisho mbaya.....!!!!

    Nikweli aysee maana so kwa kuumbuana kule
  9. morgan7

    JamiiForums Tanzania Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Iko vzur apo ni mtaji. Tuh. But. Magonjwa ya kuku nayo ni tatizo aysee
  10. morgan7

    JamiiForums Tanzania LESEN ZINAHUSU mpaka zile website zinazo sambaza mziki

    Habali zenu wana JF. NINA swali je izo sheria za mitandao zina husu. Mpaka website/blogs zinazojiusisha. Na music au zinazohusu utoaji wa HABARI PEKEAKE????????
  11. morgan7

    JamiiForums Tanzania Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

    N Naomba maelekezo apo jnsi ya kulpwa kwa njia hiyoo maana kujiunga tuh mpka uweke account ya benk na namba za simu ulizojiungia benk sasa sijaelewa apo msaada tafadhal coz na mm nahitaji hiyo njia niifahamu
Back
Top Bottom