morgan7
Member
- Dec 21, 2017
- 13
- 7
| Oy niaje Wana. JF Nimeona post nyingi kuusu. AdSense kua banned kwa upeo wangu mdogo 😁😁 Na vitu viwili vitatu. Nilivo Google nimegundua. Kwamba ukiachana na organic traffic. Kua nzur na really traffic kitu ambacho tunakisahau Ni. PAGE CTR sababu unaweza kukidhi vigezo vyoote Ila page CTR. IKAKUROSTISHA. NA UKAJIKUTA. UNAKULA BANN Page CTR. Ninini. Kwa maana fupi. Ni mda tangazo linapokua displayed na kua clicked yaani yaani unapo tazama tangazo unakua una creat impression Sasa. Number of creck ÷ impression = CTR AdSense yako haitakiwi izidi 10% CTR. YAANI TUJITAIDI tusivuke Apo ndomaana. Account zetu zinakula bann. Sababu utakuta mtu Ana CTR 30- 60% nakuendelea. Ukiona Ivo jua Kuna invalid Crick Kama zoteee😁😁😁 Namna ya kuepuka. Invalid Crick Weka tangazo sehem ambayo. Mtu mpka akigusa. Ametumia. Sekunde ata 30 kamasio 45 ikiwa Ivo inamaana mpaka anagusa. Tangazo. Tayari ushatengeneza impression yakutosha na ukipiga maesab utakuta CTR 2% na vitu Kama Ivo Ila ukisema uweke sehemu mtu anaingia tuh kwenye blog. Na anagusa ads kwa bahati mbaya au kakusudia kugusa Ila hii itaesabika invalid click. Sababu. Utakuta anaingia tuh impression yake 16 na kagusa tangazo. Apo jiandae page CTR. Yako kua 79%. And after few days or month UNAKULA BANN Kwaiyo jaman tuweke matangazo sehemu ambayo. Mtu mpaka aguse uxhapata Una impression ya kutosha Ustake click nyingi ambazo zitakukost SORRY FO TYPING ERRORS | |||||