Recent content by Mordekai

  1. M

    Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

    Kwa wale tunaomjua Mawalla; subirini siku si nyingi mtakuwa shocked na ufisadi wake wa hali ya juu; by then nadhani atakuwa South Africa akwenye ofisi yake wakati sisi tukiwa Tahrir Square. Just wait and see. Mtu anaemtetea amuogope Mungu
  2. M

    Mh Rais watie ndani kina Mwanakijiji!

    I wouldnt mind if the cat is black or white, as long as it catches the rat, and in this case the rat is right in the mouth of the cat; now you tell me if the rat which is already in the mouth of the cat can bite the cat ... keep up Mwanakijiji, I think we need several of you in Africa
  3. M

    Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

    Oh, well, very sad indeed; mashujaa kufa kifo cha kimya kimya inatia huzuni sana. Angekuwa mwanasiasa, au hata mwanamichezo, au mwanamuziki, hata asiye na CV ya kumkaribia angetangazwa na wananchi wangepata nafasi ya kumuombolezea at least familia yake wangejua kuwa mpendwa wao hakuwa nobody...
  4. M

    Msaada!

    Happy New Year To You all! Yeyote anayefahamu kampuni zinazohitaji "online surveryors" au kazi yoyote mtu anaweza kufanya kutoka kwenye computer yake akalipwa; kwa maneno mengine 'work from home jobs' naomba aniandikie PM. Only genuine ones please!
  5. M

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    1. Kikwete ni rais wa kwanza Tanzania kuzomewa na wananchi katika ziara ndani ya nchi. 2. Kikwete ni rais wa kwanza Tanzania kukumbwa na malumbano na wafanyakazi mara kwa mara 3. Kikwete ni rais wa kwanza Tanzania kuanguka jukwaani 3. Kikwete ni rais wa kwanza Tanzania kususiwa na wabunge...
  6. M

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    hakuna mwenye kesi anayetanguliza kuweka hadharani ushahidi wake kabla hata hajafungua mashtaka; tena kwa nchi ya mabingwa wa kuchakachua huo ushahidi ukitolewa tu leo kesho washamaliza kuchakachua. Likewise kuwataka CHADEMA kuandaman ni kupigana mieleka na nguruwe, kucheza matopeni ndo mahali...
  7. M

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Tume ipi jamani; its as good as dead. Walishakabidhi integrity yao siku nyingi. Imagine sheria inasema akishaapishwa Rais huwezi pinga; mtu anapinga beforehand kwa kufuata sheria; bado wanaendelea; this people wanastahili kuchapwa viboko; I wish yule aliyepigwa makofi na Mbowe angekuwa...
  8. M

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Mkuu Mwanakijiji, watu wana ugumu tu wakutotaka kufikiri. Nimemsikiliza Mbowe akiongea BBC asubuhi; nimemsikia Slaa akiongea hapa. Kuna mambo ambayo hayana ubishi: 1. CHADEMA wanatambua kuwa NEC wamemtangaza Kiwete..sorry, I mean Kikwete kuwa kuwa Rais wa Tanzania. 2. CHADEMA wanatambua haki zao...
  9. M

    GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    ? ? ? aisee, kwa mtaji huu nimejua kwanini watu wenye akili timamu wanaichukia CCM? stupidity, ignorance coupled with poverty... duh, long way to go!
  10. M

    GE2010 Kikwete ampigia debe Mramba!

    Ole wa hakimu anayesikiliza hiyo kesi! kama mkuu kashasema hivyo ujue ni ujumbe tosha kuwa 1. kesi iishe kabla ya tarehe 31 2. Mshtakiwa aachiliwe Here we go. Mtahangaika kuleta data za wezi na mafisadi wa seriakli ya CCM; KAMA CCM IISHIVYO, HAKUNA FISADI ATAFUNGWA!
  11. M

    Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

    Hivi ndugu yangu huwezi tu kuona hiyo haraka waliyokuwa nayo kuandaa risiti; jamani, be fair to the guy who was given the assignment; kapigiwa simu ya kuitwa mahali[mi sijasema ni wapi niacheni!] akapewa amri ya kutengeneza risiti za kupinga madai ya Slaa; hivi unategemea angepata akili ya...
  12. M

    Beregu v Kinana - Hivi kweli tunategemea kambi ya upinzani?

    .. to mention but a few! Nimekuwa nikifuatilia midahalo ya TBC1, CHADEMA wana vijana hatari sana wa kujibu hoja za papo kwa papo; only that kwa sasa wote wako majimboni; I bet Kinana had a good sleep on that day
  13. M

    Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

    Sure. Hata mimi niliwahi kupata hayo maelezo kutoka kwa maafisa. Lakini kwa kuwa CCM ndo Serikali tegemea huo ufafanuzi toka kwa mkuu wataasisi muda wowote kuanzia sasa. Hii ndiyo Tanzania; si bure Zanzibar wanapaki virago vyao!
  14. M

    Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

    Good question. Katika kikao cha bunge cha bajeti sijawahi kusikia Wizara yoyote, au taasisi, au whateve, wakitoa taarifa ya "MAPATO YATOKANAYO NA KUKODISHA NDEGE YA SERIKALI" I stand to be corrected, kama kuna mtu ana hiyo taarifa ya Hansard Please!
  15. M

    Beregu v Kinana - Hivi kweli tunategemea kambi ya upinzani?

    I wish we could forget about the claim of Kiranga's so called hypocricy for a moment and read the post between the lines. I wouldnt care less whether Kiranga is CCM or CCJ gone dead if only he/she can analyse issues critically; which in my opinion he/she has gone way far ahead of his/her...
Back
Top Bottom