Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 16
Tanzania hamna vyama vya siasa bado, kuna magenge ya unazi tu. Na kwa kulialia huku CHADEMA mnakamilisha maneno ya CCM kwamba hamko tayari kwa prime time, mnategemea kuwa treated with kid gloves. Ukubwa kazi. Ukitaka ukubwa lazima upitie jando, jando si lelemama.
Tanzania inaongozwa na genge la majambazi, wauaji, wafanyabiashara za utumwa, wachawi, na waporaji wa mali za watanzania - chama chako cha CCM
Hili ndilo inabidi libadilike kwanza. Hayo mengine ya vilio nadhani ungekuwa haujafunikwa na ufisadi wa ccm ungegundua kuwa bosi wako Kinana ndiye alikuwa analialia kaaa kitoto kisichana cha miaka mitano kilicholazimishwa tohara.
Wewe ushasoma manifesto ya CHADEMA ? Unaijua iko tofauti na ya CCM kivipi ?
Let's discss the issues hapa, ama sivyo utakuwa unaleta unazi katika siasa.
Wewe una standards zako za mijadala. Uko all over the map na ni kazi sana kufuatilia unachosema. Sina muda wa kupoteza kujadili unachoita issues (maana hazipo) hapa.
Ukiacha unazi wako wa kifisadi fisadi na utetezi wako wa majambazi wa ccm, labda tutakuwa na la kuongea.