Mh Rais watie ndani kina Mwanakijiji!

Mh Rais watie ndani kina Mwanakijiji!

Status
Not open for further replies.
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

sucks to be you
 
:blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:
 
Hoja yako ni nini hasa;

1) Raisi amkamate MMK?

2) Raisi atoe maelezo anahusikaje?

Unachojaribu kufanya ni kutafuta mawazo au au unatoa taarifa?

Kama ni taarifa kwa nini usimtumie Raisi moja kwa moja unakuja kupost JF? Email ya Raisi ni rahisi sana, mtumie Salva Rweyemamu Raisi atapata ujumbe! afterall simu ya Raisi inajulikana mtumie msg!

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba suala la kumkamata Mwanakijiji au mtu mwingine yeyote haliwezekani. Ingekuwa hivyo angeaanza na Dr. Slaa na wengine! Unachotakiwa kumshauri ni nini kifanyike ili wananchi wawe na imani nae!

Tatizo la Raisi wetu ni washauri wake na ushauri anaopewa!!
 
Haingii akilini,hawa Intellegence wana 6 millions ways to die wewe mwenyewe utachoose one,hawajakutaka wewe wala Slaa,
 
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

Aanze kujitia ndani yeye na vinara wake kwanza.
 
Mh Rais wananchi wanataka kujua una/ulihusikaje na kampuni ya dowans?

Mh Rais wala hakuna haja kukamata wanaouliza maana wanaojua kwamba ulihusika ni wengi, utakama yupi umwache yupi. Mh Rais kwa taarifa ni kwamba magereza yamejaa mahabusu!

Mh Rais karibu wananchi wako wapo tayari kukusikiliza.
 
Siku akilisemea suala la dowans patakuapo mshangao sana anachofanya ni kuwaacha watu kama mwanakijiji waropoke hadi wakinai wenyewe .si mmecheki issue ya katiba mpya alivozima.
 
Siku akilisemea suala la dowans patakuapo mshangao sana anachofanya ni kuwaacha watu kama mwanakijiji waropoke hadi wakinai wenyewe .si mmecheki issue ya katiba mpya alivozima.

kwani ameizima? au amedandia mbele ya safari.. at the end utaona kuwa atalishirikisha Bunge na hatokuwa na uamuzi wa mwisho.
 
Aanze kujitia ndani yeye na vinara wake kwanza.

Alikarabati na kujenga VIP cubical naona ataanza yeye kuzibikiri.

BTW ataseme nini wakati amekatwa maini. hapo anapiga hesabu ya pesa jinsi anavyoikosa huyu mkwere wazimu sana. Unakuwa rais then unakuwa na tamaa ya pesa? Akifa watamzika na fedha zake.
 
humu humu jf kuna mwenzako alitishia kuilengesha
credit card aliyoamini ni ya mwanakijij ili akamatwe.
matokeo yake jamaa kala kona siku hizi haonekani
hapa jukwaani lol
 
Mmh,mwanakijiji nina maana ajenda ya katiba waliibebea bango lakn akawazima kwa kuikubali NASHAURI wanaowekeza kupiga soga kuhusu dowans waanze kutafuta subject ingine,siku akitamka dowans hailipwi ,watu humu wataongelea nini?.
 
of course, ataonekana amedandia mbele ya safari maana yake anapima mwelekeo wa upepo tu akiona wengi wanaelekea huku na yeye anafuatia huko huko... ndivyo iliyvokuwa kwenye suala la Katiba.. Bodi ya Mikopo.. n.k
 
Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!......

IPP MEDIA said:
JK defends silence
By Judica Tarimo
3rd February 2011

President Jakaya Kikwete yesterday defended his silence over controversial multi-billion legal disputes, saying he has no powers to interfere with the rulings or decisions made by the courts of law.

Speaking at the official celebrations to mark the National Law Day, President Kikwete said in a country which respects the rule of law and principles of good governance, nobody is above the law.

“There are public calls pushing me to make a decision on a matter already decided by the court...I can’t do that,” he said, without disclosing the issue he was referring to.

“It is impossible for me to interfere with the court decisions, because judiciary is the only organ which has been vested with powers to oversee dispensation of justice in Tanzania,” he added, saying the country’s Constitution was clear on the separation of powers.

The President said: “Article 107 (a) of the constitution states categorically that the only authority which has the final decision on the dispensation of justice shall be the judiciary.”

He said it was unfortunate that some sections of Tanzanians “are pushing me to interfere with the rulings of the court…if I say that I can’t do it, some of them are surprised, while others accuse me of avoiding my responsibilities,” said Kikwete.

Kikwete said the myths and misconceptions that the president can chip in and decide otherwise in a legal dispute already decided by the court, were largely caused by ignorance on the functions of judiciary, one of the three pillars of the state.

While hailing coordinators and organisers of this year’s Law Day celebrations for choosing a theme: “Public Education about the Judiciary,” Kikwete tasked the department of judiciary and its stakeholders to educate Tanzanians on the processes of dispensing justice and general operations of the sector.

“If Tanzanians are well educated, blames currently directed at me and others in the government for failing to act on cases already decided by courts would be greatly reduced,” said President.

Global Security Org. said:
Bush Disagrees with High Court Guantanamo Bay Ruling

By Paula Wolfson
Rome
12 June 2008

U.S. President George Bush says he disagrees with a Supreme Court ruling that prisoners at the Guantanamo Bay detention facility have the right to challenge their detention before civilian judges. VOA's Paula Wolfson reports Mr. Bush spoke out on the high court ruling while in Rome for talks with Italian Prime Minister Silvio Berlusconi.

While the president was meeting with Italian leaders, the U.S. Supreme Court handed down its latest ruling on Guantanamo.

The president said he disagrees. "We will abide by the court's decision. That doesn't mean I have to agree with it."....

Nifahamisheni jamani nashindwa kumwelewa mkuu wetu
 
Mmh,mwanakijiji nina maana ajenda ya katiba waliibebea bango lakn akawazima kwa kuikubali NASHAURI wanaowekeza kupiga soga kuhusu dowans waanze kutafuta subject ingine,siku akitamka dowans hailipwi ,watu humu wataongelea nini?.

Akisema Dowans hailipwi inatakiwa ajiuzuru kazi mara moja; hata kama ataendelea kukatalia madarakani lakini kuna mambo makuu wawili ambayo yalizima uyaelewe: -

  1. Sisi kama wananchni tutamtaka afanye hivyo maana ndivyo tunavyoimba hapa kila siku tutakuwa tumefanikiwa kumpigia giita mbuzi na akalicheza tutashangia kuwa tumepiga hatua moja mbele maana haina ubishi hayo yatakuwa yametokana na msimamo wetu sisi na hasa tukiongozwa na Wazee wetu wakina MMJ na Dr. Slaa chini ya CDM; kwakuwa CC-CCM chini ya Uwenyekiti wake walikubaliana na kutangaza adharani kuwa Dowans ilipwe sasa akijitokeza na kusema tofauti huo ndio ukweli na utabaki hivyo.
  2. Pili, Watanzania na dunia nzima watapata nafasi nzuri ya kumuelewa vyema uwezo wake yeye na Chama chake, watakuwa wamejua rasmi kuwa wanao-sema hajui lolote hawamsingizii ni kweli. Atakuwa amedhiirisha wazi kushindwa kwake yeye na Chama chake kuongoza lakini bado wana-ng'ang'ania madaraka wasiyo yaweza!! maana huo utakuwa ni mlolongo wa Wana-ccm kujitokeza hadharani na kutoa kauli tata ambazo zinapingana wao kwa wao juu ya Dowans, na sasa safari hii yeye atakuwa anapingana hata na kikao ambacho alikiongoza yeye mwenyewe, Wananchni watakuwa na haki ya kujitokeza barabarani kuandamana kumtaka aondoke maana chama hicho kitakuwa pia kimepoteza uwezo na mwelekeo wa kushikilia dola. Maana nchni haiwezi kuendelea kuongozwa na mtu hasiyejua majibu sahihi kwa wakati sahihi mpaka watu wapige kelele miaka minne ndipo aelewe na kuzinduka usingizini.
 
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

I wouldnt mind if the cat is black or white, as long as it catches the rat, and in this case the rat is right in the mouth of the cat; now you tell me if the rat which is already in the mouth of the cat can bite the cat ... keep up Mwanakijiji, I think we need several of you in Africa
 
Tatizo ninaloliona hapa ni uwezo wa kung'amua ujumbe watu mmezoea lugha ya moja kwa moja , kwa ninavyoona mtoa hoja anamshikiza rais atoe tamko/ achukue hatua badala ya kuacha wananchi wakipiga kelele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom