Hodi humu ndani...
Tafadhal mim naomben mwenye biashara ya movies ambaye ana historical Korean drama hasa za zaman na mpya tufanye biashara ...nahitaj kuzinyonya kwa flash disk
Uchaguzi wa serikal za mitaa hausimamiwagi na tume....huo unahusika na TAMISEMI...(tawala za mikoa na serikal za mitaa) ,tume ya uchaguzi unadil na uchaguzi wa madiwani wabunge na urais ambao ni mwakani...
Zoezi la uandikishaji linaenda kwa awamu na kwa sasa mikoa ambayo ni tayari ni
Kigoma...
Majina yaliyotoka mpaka sasa ni Kigoma, Tabora na Katavi ambako uandikishaji ndio unaanza tarehe 20 july.....mikoa mingine bado uandikishaji unafanyika kwa awamu sio kwa wakati mmoja.....baada ya mikoa hiyo itatangazwa mikoa inayofuata ndio majina yao yatatoka
Watu wanaita kwa awamu..zoezi la uandikishaji linafanyika kwa awamu sio mara moja nchi nzima...hivyo wameanza na kigoma tarehe 20 na majina yametoka ya huko....walitangaza taarifa za mikoa inayofuata itakuwa inatoka kwenye vyombo vya habari...
Mfano baada ya kigoma unafuata mkoa wa tabora na...
Siku 12 tu kwa miez ya mwaka kesho Mungu akijaalia ni siku ya 5 najitahid kula vyema jion na matunda na maji ya kutosha hayo masaa ya mchana Roho Mtakatifu anajua ngoja twende kiimani nimemwomba kwamba nanyonyesha na anajua .....vita ya kiroho niliyonayo bila kufunga mkanda sitofika mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.