Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Habarini za leo tena.. Mniwie radhi kwa kuchelewa kuweka haya mawasiliano .. Kumasi leo namba itakayotumika ni hii +255 742 384 888
Ilikuwa ofisi ziwe Kibaha lakini kuna mambo hayajakamilika hivyo kwa maulizo na kutoka kufika utakuwa ni Makutano ya Mtaa wa Lindi na Livingstone Kariakoo
Karibuni tuendelee na michakato safari ya kwanza ni tarehe 5 mwezi wa tatu.. Kwa unafuu wa tickets Tafadhali kafa air Tanzania
Wiki ya mwisho ya February ndio ya kukutana wote
 
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..

Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake

Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao

Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kaka Mshana hii ni fursa nzuri sana aiseee

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hizi gharama sio mbaya. Very fair. Ila hapo namba 5 kweli haiwezi pungua 300k... angalau 500k. Ninawashauri wale ambao hawataenda kwa wakati huu wahamasike kutafuta passport kwanza ili siku wakijiweza wasitaabike kuanza kutafuta passport. Wajanja wote hutafuta passport wakati ambao hawana uhitaji wa kusafiri. Mimi nilitafuta passport enzi ninalala chini kwenye godoro bila kitanda. Nilikuwa na imani kubwa kuwa ipo siku nitaanza kusafiri na kweli miaka minne baadae ndo nikaanza kugonga mihuri.
Nakufatilia Sana nyuzi zako!!
Nakukubali Sana..!
 
Updates
Safari yetu ni tarehe 5
Wamejitokeza wenzetu watano ambao mpaka leo hii wameshatimiza vigezo vyote vya safari wengine wawili kesho Inshallah.. Na kuna wengine 6 toka nje ua JF

Changamoto kubwa iliyojitokeza ni maombi ya visa pale ubalozi wa China.. Kuna rushwa ya wazi ubabe na vitisho..na yote haya yanafanywa na watanzania wenzetu.. Tunaangalia namna ya kulitatua hili na kupata ufumbuzi wa kudumu
 
Hivi ukiwa unaenda kufunga mzigo china,Hela unaenda nayo kesho,ama inakuaje? Naomba ufafanuzi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates
Safari yetu ni tarehe 5
Wamejitokeza wenzetu watano ambao mpaka leo hii wameshatimiza vigezo vyote vya safari wengine wawili kesho Inshallah.. Na kuna wengine 6 toka nje ua JF

Changamoto kubwa iliyojitokeza ni maombi ya visa pale ubalozi wa China.. Kuna rushwa ya wazi ubabe na vitisho..na yote haya yanafanywa na watanzania wenzetu.. Tunaangalia namna ya kulitatua hili na kupata ufumbuzi wa kudumu
Duh, poleni sana mtani
 
Safari ijayo tutakuwa wote. Ngja nuandae hati za kusafiria Mkuu Mshana Jr

Binafsi ni nipongeze timu nzima ya maandalizi na kwako kama pilot wa hii Idea. Hii inaleta ushirikiano wa kujikwamua kiuchumi sana.

Msisahau kutuletea, Bidhaa moving kwenye soko na bei ya huko. Hayo mengine wasalimieni wachina na waendlee na uchumi wa viwanda
 
Back
Top Bottom