Recent content by Moody Rutunga Jr.

  1. Moody Rutunga Jr.

    Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

    Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi. Naomba kuwasilisha.
  2. Moody Rutunga Jr.

    Prof. Mlambiti wa SUA - Jiwe lililosahaulika

    Prof Tarimo bado yupo anatema madini yake kama kawaida.
  3. Moody Rutunga Jr.

    Ushauri: Kutoka kusoma degree ya Mechanical Engineering kwenda diploma ya General Agriculture

    Binafsi mimi saivi nasoma BSc. Agricultural Engineering niko SUA hapa mwaka wa nne.Alipo hapo kwenye Mechanical Eng. asiache akomae coz hata huku kuna changamoto zake.Huu ndo ushauri wangu.
  4. Moody Rutunga Jr.

    Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

    Eeeeh bhn Moody ni balaaaa,jamaa yuko vizuri kwenye MODERN PHYSICS & ELECTRONICS only
  5. Moody Rutunga Jr.

    Huku SUA Tunaisoma namba, Majina ya mikopo hayatolewi

    UDOM shule yenyewe sukari tuu nashangaa mnalialia mkiitwa vilaza sishangai,eti UDOM una compare na UDSM??????
  6. Moody Rutunga Jr.

    Rais Magufuli amteua RAS wa Kagera, Jaji Warioba aukwaa Ukuu wa Chuo SUA

    Naendelea kumpongeza mkuu wa hii kaya kwa teuzi anazofanya, Ila Sikubaliani na uteuzi wa wahadhiri anaowachukua katika vyuo vyetu vikuu nchini hapo anaharibu elimu kwa njia moja ama nyingine,hao wahadhiri awaache wafundishe vyuo tuendelee kupata wataalamu wa kutosha. mfano. Chuo kikuu cha Kilimo...
  7. Moody Rutunga Jr.

    Ndalichako: Tumesitisha fedha za field kwa sababu wanafunzi hewa ni wengi mno

    Mtonyo ukingia ndiyo naenda Field over,Waendelee na uhakiki wao tuu.
  8. Moody Rutunga Jr.

    Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO

    Lazima lazima sana hiyo mtajuaje kama namim mhandisi.
  9. Moody Rutunga Jr.

    Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO

    Hongera sana Prof Mpanduji SM kwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa SIDO.Pia kwa upande wa pili Potential moja muhimu sana tumeondolewa sisi wana SUA Nakumbuka kozi ulizonifundisha AE 112 ENGINEERING MECHANICS STATICS AE 115 ENGINEERING MECHANICS DYANAMICS AE 217 ENGINEETING MATERIAL TECHNOLOGY. All...
  10. Moody Rutunga Jr.

    Rais Magufuli amteua Hilda Nkanda kuwa Kamishna wa Kazi

    Usiongee kitu usichokijua mkuu unadhani watu waliopo SUA wanabahatisha
  11. Moody Rutunga Jr.

    Rais Magufuli amteua Hilda Nkanda kuwa Kamishna wa Kazi

    Hongera sana Prof Siza D Tumbo,watu wasioakufahamu wanaongea wanachokijua lakini mi nakujua utendaji wako,umekuwa supervisor wangu pia umenifundisha darasani,BIG UP sana
  12. Moody Rutunga Jr.

    Kufundisha Vyuo vya Diploma

    Mmmmmmh mi napita tuu.
  13. Moody Rutunga Jr.

    UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

    wazee mi nimepiga Pascal lakini nilikuwa nahitaj kujifunza na language zingine naomben msaada
Back
Top Bottom